Chapati Tatu JF-Expert Member Joined Apr 23, 2024 Posts 410 Reaction score 866 Aug 25, 2024 Thread starter #41 leoleo-tu said: bado ni mwanachama wa kataa ndoa mkuu Click to expand... Anaahirisha tu ndoa kila mwaka
leoleo-tu said: bado ni mwanachama wa kataa ndoa mkuu Click to expand... Anaahirisha tu ndoa kila mwaka
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 62,852 Reaction score 95,056 Aug 25, 2024 #42 Chapati Tatu said: Huwa unanunua supu ya bei gan?? Click to expand... Supu Buku Jero na Buku mbili..chapati Jero.
Chapati Tatu said: Huwa unanunua supu ya bei gan?? Click to expand... Supu Buku Jero na Buku mbili..chapati Jero.
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,825 Reaction score 113,410 Aug 25, 2024 #43 King Kong III said: Maji ya kuoshea vyombo hawayamwagi wanasuzia vyombo kuanzia asubuhi mpaka usiku hayo hayo. Click to expand... Na hatuachi kula
King Kong III said: Maji ya kuoshea vyombo hawayamwagi wanasuzia vyombo kuanzia asubuhi mpaka usiku hayo hayo. Click to expand... Na hatuachi kula
Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 42,783 Reaction score 95,576 Aug 25, 2024 #44 Kumbe mnaoa ili mpate mtu wa kuwapikia, kuwafulia na kuwafanyia kazi nyingine. Ndoa ni utumwa. Kataa ndoa!
Kumbe mnaoa ili mpate mtu wa kuwapikia, kuwafulia na kuwafanyia kazi nyingine. Ndoa ni utumwa. Kataa ndoa!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,907 Reaction score 193,931 Aug 25, 2024 #45 Hatari lakini salama... Cc: Mahondaw
Chapati Tatu JF-Expert Member Joined Apr 23, 2024 Posts 410 Reaction score 866 Aug 25, 2024 Thread starter #46 Demi said: Kumbe mnaoa ili mpate mtu wa kuwapikia, kuwafulia na kuwafanyia kazi nyingine. Ndoa ni utumwa. Kataa ndoa! Click to expand... Usimbe sio mzuri, tafuta mume uolewe
Demi said: Kumbe mnaoa ili mpate mtu wa kuwapikia, kuwafulia na kuwafanyia kazi nyingine. Ndoa ni utumwa. Kataa ndoa! Click to expand... Usimbe sio mzuri, tafuta mume uolewe
Chapati Tatu JF-Expert Member Joined Apr 23, 2024 Posts 410 Reaction score 866 Aug 25, 2024 Thread starter #47 King Kong III said: Supu Buku Jero na Buku mbili..chapati Jero. Click to expand... Fanya uoe, hakunaga supu ya buku jero.
King Kong III said: Supu Buku Jero na Buku mbili..chapati Jero. Click to expand... Fanya uoe, hakunaga supu ya buku jero.
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 62,852 Reaction score 95,056 Aug 26, 2024 #48 Chapati Tatu said: Fanya uoe, hakunaga supu ya buku jero. Click to expand... Sasa minjingu kwenye mikaa huku utapata Supu kama ya Serena?
Chapati Tatu said: Fanya uoe, hakunaga supu ya buku jero. Click to expand... Sasa minjingu kwenye mikaa huku utapata Supu kama ya Serena?
Chapati Tatu JF-Expert Member Joined Apr 23, 2024 Posts 410 Reaction score 866 Aug 26, 2024 Thread starter #49 King Kong III said: Sasa minjingu kwenye mikaa huku utapata Supu kama ya Serena? Click to expand... hahahahah dah ila Minjingu c ndo kuna pisi za kimbulu? Fanya uoe.
King Kong III said: Sasa minjingu kwenye mikaa huku utapata Supu kama ya Serena? Click to expand... hahahahah dah ila Minjingu c ndo kuna pisi za kimbulu? Fanya uoe.