Maajabu ya kutisha sijui nimekuwaje

Maajabu ya kutisha sijui nimekuwaje

Mkudisingo

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2014
Posts
421
Reaction score
123
Jamani ndugu zangu, ni kipindi kirefu sasa kuna tubiashara tunanitokea situelewi yani nikikutana na saa yoyote ile ilimradi ni ya namba basi ni lazma nione saa na dk zimefanana in kiswahili or English mfano: 10:10 sa nne na dk kumi au saa tatu na dk tatu (3;3) ,5:5,au sa 5:11 yaani sa kumi na moja na dk kumi na moja ambayo hiyo hiyo ukipeleka kwa kiswahili ni saa tano na dakika kumi na moja.

Au ikishndwa hayo yote lazma iwe kamili nakuta sa 3:00...8:00.

Baadhi ya rafki zangu wanajua hili swala yani kila ikinitokea na nipo na mtu pembeni basi namstua oyaa cheki, mara ya kwanza walijua najifanyisha nafanya makusudi yaani nasubiri zikifanana halafu nawaonesha.

Wakati mwingine hadi natamani ningekuwa nafanya makusudi kweli lakini ukweli unaotisha ni huo.

Yaani nikitizama tu saa lakini nikiwa ktk hali ya kawaida tu nimekumbuka kuangalia ni saa ngapi basi nakutana na hali kama hiyo.

Anybody having an idea what does that means!! Mwenzenu imekuwa too much hadi naogopa labda nanyemelewa na kipaji cha uganga au utabiri Au nataka kufa.

Tafadhali maoni yako muhimu sana au hata kama hapa bongo kuna mtaalamu anayeweza kutafasiri antafasirie what's all these about.
 
Hizo ni hallucinations za kutaka kuwa mganga tu hakuna kitu ka hicho
 
jamani ndugu zangu ni kipindi kirefu sasa kunatubiashara tunanitokea situelewi yani nikikutana na saa yoyote ile ilimradi ni ya namba basi ni lazma nione saa na dk zmefanana in kiswahli or English mfano: 10:10 sa nne na dk kumi au satatu na dk tatu (3;3) ,5:5,au sa 5:11 yani sa kumi namoja na dk kumi na moja ambayo hiyo hiyo ukipeleka kwa kiswahil ni satano na dk kumi na moja... au ikishndwa hayo yote lazma iwe kamili nakuta sa 3:00...8:00...baadhi ya rafkizangu wanajua hili swala yani kila ikinitokea na nipo na mtu pemben basi namshtua oyaa cheki mala ya kwanza walijua najifanyisha nafanya makusudi yani nasubiri zikifanana halafu nawaonesha,wakati mwingine hadi nnatamani ningekuwa nafanya makusudi kwel lakn ukwel unaotisha ni huo... yani nikitizama tu saa lakn nikiwa ktk hali ya kawaida tu nimekumbuka kuangalia ni sangap basi nakutana na hali kama hiyo.......anybody having an idea what doe's that means.... mwenzenu imekuwa too much hadi naogopa labda nanyemelewa na kipaj cha uganga au utabiri Au nataka kufa.. tafadhal maoniyako muhimu sana au hata kama hapa bongo kunamtaalamu anayeweza kutafasiri antafasirie what's all this about.
Mkuu Mkudisingo, hakuna maajabu yoyote bali just a coincident tuu baada ya kuicondition brain yako kuwa alerted kwa number hizo, hivyo kila zikitimu mida za probalities hizo, brain inakuwa alerted, na wewe ndio unauliza mida na kuangalia saa!. Hapo kuna maajabu gani?!, na hata yangekuwepo, ndio yangetisha nini?. Heading yako iliposema maajabu ya kutisha nikafikiri ni mambo makubwa ya kutisha, baada ya kusoma, nikuta nothing at all!.

Kama unajidhania labda unaweza kuwa na powers zozote zisizo za kawaida, karibu nitembelee hapa
Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wana

Pasco
 
Inawezeakana kuna wengine humu JF post zao ni za saa kamili tu au wengine kila akipost mda wa kutoa mada na post huwa zinafanana we muangalie tumboo mada alitoa saa 20:05 na kuna post zake kwenye hiyo hiyo thread zina muda huo huo 20:05 ila yeye hajui mpaka MCHUNGUZI HURUamstue ndio atastuka.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli, na inaonesha ulianza kupost hili bandiko saa 02:22 !!
Sikwambii madhara ya tatizo ulilonalo ila ni hatari sana!

Cha kufanya: kumbuka mida ulipo jigundua kwamba unatatizo, yaani kwamfano ilikuwa ni saa 23:59 (saa tano na dakika 59) geuza ziwe ni dakika 23 na sekunde 59 basi nenda chooni pekupeku "kanye"(lazima hii) na ukae huko kwa dakika hizo hizo bila kupunguza nukta na usitawaze rudi kitandani(bila kuangalia nyuma) haraka sana ulale bila nguo na tatizo lako litaisha kabisa!!

Leta mrejesho
CC Pasco kahtaan MziziMkavu etc
 
Mhhhh!
 
Kwan we ni shushushu??
 
Last edited by a moderator:
gambling ghost/cheza slots machine mara kwa mara utashinda lete mrejesho!
 
Najuwa maana yake. Je wewe ni Mkrsto? Fungua Biblia kulingana na muda uliouona. Mf. 07:12, 07 ni SURA na 12 ni Mstari. Kwa Waislam vivyo hivyo, 07 SURA 12 AYA. nk.
 
Najuwa maana yake. Je wewe ni Mkrsto? Fungua Biblia kulingana na muda uliouona. Mf. 07:12, 07 ni SURA na 12 ni Mstari. Kwa Waislam vivyo hivyo, 07 SURA 12 AYA. nk.[/QUOTE
sasa hapo nafungua sura na mistari bila kujua kitabu au andiko ni la nani?
 
Brain conditioning kama alivyosema pasco. Itumie vizuri kwenye kujiamsha asubuhi. Huna haja ya alarm mkuu
 
Ni kweli, na inaonesha ulianza kupost hili bandiko saa 02:22 !!
Sikwambii madhara ya tatizo ulilonalo ila ni hatari sana!
Cha kufanya: kumbuka mida ulipo jigundua kwamba unatatizo, yaani kwamfano ilikuwa ni saa 23:59 (saa tano na dakika 59) geuza ziwe ni dakika 23 na sekunde 59 basi nenda chooni pekupeku "kanye"(lazima hii) na ukae huko kwa dakika hizo hizo bila kupunguza nukta na usitawaze rudi kitandani(bila kuangalia nyuma) haraka sana ulale bila nguo na tatizo lako litaisha kabisa!!
Leta mrejesho
CC Pasco kahtaan MziziMkavu etc

Haki ya nani...kuna maeneo usijaribu kuchungulia JF utaonekana chizi!!
Nimecheka nikiwa library watu wananishangaa tu!!
 
Back
Top Bottom