Maajabu ya Korea Kaskazini

Ndiyo maana tunasemaga kuwa JF ni zaidi ya darasa
In God we Trust
 
Inaelekea hata mtu akifeli darasani anabutuliwa risasi, hizo ni sheria za uraiani sasa vuta picha watu wa gerezani wanaishije
 
Na kwa nini uilinganishe na developing countries za Africa?
 
Mbona wasiotumia Windows wapo wengi tu!
 
Unasema huna uhakika!

In God we Trust
Afghanstan, North Korea, China, pia Saud Arabia na nchi nyingine za kiarabu hutoa uraia kwa wale tu ambao baba zao ni wa Saudia.
 
unazisikiliza Chai za Magharibi "Raisi aikiongea ukisinzia unapigwa risasi ...........wananchi wake hawaruhusiwi kuangalia taarifa ya habari................" 😀😀
 
unazisikiliza Chai za Magharibi "Raisi aikiongea ukisinzia unapigwa risasi ...........wananchi wake hawaruhusiwi kuangalia taarifa ya habari................" [emoji3][emoji3]
Hiyo ya kiongozi kusinzia kwenye kikao na kiduku unapigwa risasi ipo wala siyo chai nadhani mwaka jana au mwaka juzi kuna kiongozi alipigwa shaba na ilitangazwa kabisa

In God we Trust
 
Uchaguzi wa rais upo.
ILA MGOMBEA NI MMOJA.

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…