Maghayo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 13,611
- 28,701
nyuma uchongea mbelemwanamke siku hizi ni msandambwa vingine ni option.....
nyuma uchongea mbelemwanamke siku hizi ni msandambwa vingine ni option.....
Nimepita hapa mgahawa wa Kilimanjaro Fast Food uliopo katikati ya Mombo na Korogwe nimejionea mambo tofauti. Kwanza msosi wao ni mzuri una hadhi na unaendana na hela unayolipa.
Pili, wahudumu wa hapa ni balaa ni wakarimu na wachangamfu, watoto ni wakali balaa halafu mbaya zaidi wana mikia ya hatari.
Yaani kila Mhudumu unamkuta ana INYE ya hatari mno wakanikumbusha Arusha Night Park ( Matak Bar ).
Nikirudi kutoka ninakoenda nitapita hapo nichukue hata namba ya mmoja ikiwezekana niwarushie na picha maana Fahari ya Macho haifilisi Duka.
Kwa wasafiri wa magari binafsi wengi wanasimama hapo Rock HillRock hill ndio the best kwangu Kwa njia ya kaskazini..
Usihofu mkuu nitatupia picha zao hapa jukwaaniUkirudi Piga picha Mkuu tuone hizo Inya na Mkia. Sisi Wapemba hayo ndiyo mambo tunayoyapenda. Naweza nikawafungia safari pia.
ila bado hawajawafikia KLMRock hill ndio the best kwangu Kwa njia ya kaskazini..
Mkuu namsalimiaa hapa sasa hv.... Natoka moshi... Naenda MoroMsalimie yule Dada wa kaunta ( Aisha)
Mkuu hata Kilimanjaro ni noma aseeRock hill ndio the best kwangu Kwa njia ya kaskazini..
Ukitupia izo picha zao humu jf itakuwa sio vizuri ukumbuke,kumbuka nao hawajapenda kuzaliwa ivyo na pia huenda akawa na familia nyumbani kwake sasa utakapoweka itakuwa sio vizuri ndugu,Usihofu mkuu nitatupia picha zao hapa jukwaani