Maajabu ya Jamhuri ya SAN VAN JUAN

Trust None

JF-Expert Member
Feb 12, 2018
1,260
4,415
San Juan ni nchi ambayo ilipata uhuru kwa kudra za mwenyezi mungu. Nikimaanisha kuwa hakukuwa na umwagaji wa damu jambo ambalo limewafanya raia wake kuwa wapole hata kama utawagusa jichoni, watakaa kimya.

Leo niongelee kuhusu WAFANYAKAZI (watumishi wa umma). Kundi hili limekuwa likipata stahiki zote katika awamu zilizopita tofauti na awamu iliyopo madarakani. Waliongezewa mishahara, madaraja, kupandisha kima cha chini, vyeo, malimbikizo, madeni na stahiki mbalimbali kwa mjibu wa sheria.

Tangu awamu hii iliyopo madarakani, mambo hayo imekuwa ndoto.
Kwa mfano;

1. Madaraja.
Ajira mpya ya 2012, 2013, 2014 na 2015; wote hawajapanda madaraja. Hii inamaana kuwa mwajiriwa wa 2018 analingana mshahara na wa 2012 na kuendelea.

2. Nyongeza ya mshahara
Mtumishi wa kima cha chini mwaka 2012 alilipwa kiasi cha Qjuan elfu 215 Basic salary na hadi julai 2015 alilipwa kiasi cha Qjuan elfu 419 takribani nyongeza ya Qjuan elfu 204 kulingana na pesa ya San Van Juan. Mtumishi huyohuyo hadi julai 2018 alilipwa kiasi cha Qjuan elfu 429 Basic salary takribani nyongeza ya Qjuan elfu 10 tu. Linganisha na tofautisha nyongeza ya miaka mitatu 2012-2015 na 2015-2018.

MAAJABU

Kabla ya 2015, watumishi hao walilalamika sana hadi kupelekea maandamano nchi nzima wakidai nyongeza lakini baada ya 2015 wamenywea. Hakuna mtumishi wala chama cha wafanyakazi anayeweza kuinua pua yake. Watapata tabu sana.

....
Ilianza increment fyeeeka,
ikaja nyongeza fyeeka,
mapunjo na madaraja fyeeeka
sasa kiinua mgongo cha 100% fyekeeeeeleaaaa
aaaaaaaaaaaaa mbali.

Hiii imepita. Kama kuna mtu anasema naongea uongo, nyoosha mkono useme. Jifanye kama unajikuna, nasema we nyoosha, jifanye tu unajikuna. Atakae bisha bisha ntashuka nae jumla jumla.

©Trust none
 
A
San Juan ni nchi ambayo ilipata uhuru kwa kudra za mwenyezi mungu. Nikimaanisha kuwa hakukuwa na umwagaji wa damu jambo ambalo limewafanya raia wake kuwa wapole hata kama utawagusa jichoni, watakaa kimya.

Leo niongelee kuhusu WAFANYAKAZI (watumishi wa umma). Kundi hili limekuwa likipata stahiki zote katika awamu zilizopita tofauti na awamu iliyopo madarakani. Waliongezewa mishahara, madaraja, kupandisha kima cha chini, vyeo, malimbikizo, madeni na stahiki mbalimbali kwa mjibu wa sheria.

Tangu awamu hii iliyopo madarakani, mambo hayo imekuwa ndoto.
Kwa mfano;

1. Madaraja.
Ajira mpya ya 2012, 2013, 2014 na 2015; wote hawajapanda madaraja. Hii inamaana kuwa mwajiriwa wa 2018 analingana mshahara na wa 2012 na kuendelea.

2. Nyongeza ya mshahara
Mtumishi wa kima cha chini mwaka 2012 alilipwa kiasi cha Qjuan 215 na hadi julai 2015 alilipwa kiasi cha Qjuan 419 takribani nyongeza ya Qjuan 204 kulingana na pesa ya San Van Juan. Mtumishi huyohuyo hadi julai 2018 alilipwa kiasi cha Qjuan 429 takribani nyongeza ya Qjuan 10 tu. Linganisha na tofautisha nyongeza ya miaka mitatu 2012-2015 na 2015-2018.

Trust none
Ahaa hahaha
 
FB_IMG_1524587936154.jpg
 
Hii Jamhuri ina Characteristics zote za Jamhuri ya Guam iliyotajwa hapa Nilikuwa sijaamini mpaka nilipohakikishiwa na mtu wa karibu kwamba mfalme wa kisiwa cha hapo Guam analindwa na wanajeshi wa nchi tofauti - JamiiForums
 
We nchi ya watu na mambo yao inakuhusu nini???!!!au unawashwa mbunye
 
Back
Top Bottom