Maajabu ya hii nchi

eljouf

Member
Joined
Aug 21, 2015
Posts
70
Reaction score
27
Report ya sensa inaonyesha kuwa wanawake ni zaidi ya nusu ya watz wote! Cha ajabu hakuna mwanamke single, wote wanawatu! Cha ajabu kuwa wanaume kibao tupo single. Sasa je hawa wanawake wengine nani kawashikilia? Ok guys ebu waachilieni na sie tuwapate! Haiwezekani wew uwe na mademu kumi afu sisi tukose asee...

Post sent using JamiiForums mobile app
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Njoo kwangu sina mtu wala mchepuko .. Inaonekana nilisahaulika kwenye hiyo sensa ya kuwa na mtu....
 
Aiseeeh, siyo kwa kupovuka huku.

Any way, ulipokuwa naye ulimuona hafai umemuacha wenye kujua maana ya mwanamke wakamuchukua. Sasa ndiyo unaisoma namba unaamua kupovuka humu MMU.

Kasimame pale posta au Mwenge utawapata wakutosha.

Acha povu leo hatujaloweka nguo Kwa ajili ya kufua.
 
Unauhakika kuwa hakuna mwanamke aliye single na kuwa kuna wanaume kibao ambao wako single?
 
Kwani hiyo, Sensa ilihusisha hao unaowaita wanawake wa miaka 18 mPaka 28 pekee???
Akili yako imechenjuliwa
 
cc Heaven Sent
uzi huo mpo weng usinibanie nafasi

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kumbuka idadi ya wazee imeongezeka, vile vile kumbuka Africa sasa hivi ina high baby booming rate. So unakuta girls unao waongelea wapo kwenye uzee na vibaby sasa wa age yako wachache[emoji3] [emoji3] [emoji3] .

Anyway, wewe sikuamini kabisa. Mimi Kila siku naaproach girls, wengi wananiambia wapo single 6/10. Kwa week naaproach 9-12 girls... Unakuta 7/12 are single. Alafu age 18-27.

Inawezekana hawakupendi, ndio maana wanakuambia 'I have a boyfriend'. Au wanataka uwachase. Inaonekana game yako sio nzuri, kwanza tuanzie hapa, kutongoza unajua? Maana ukiambiwa hayupo single, ujue hataki usumbufu, game yako zero.

Ushauri wangu, JIPANGE. Mimi naweza date 3 girls every week, sasa sielewi wewe unashindwaje. Good thing, I am a settled guy[emoji12]

-callmeGhost
 
KUFIKIA MWEZI JULAI, ATAKAEBAKI DAR NI KIDUME!


Mpaka wakati huu nikiwa na type, Alietoa hiyo kauli yupo kijijini kwao.

Karma is only a bitch if you are!

- KANA -
 
Hahaha kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake na huruma ya mchungaji
 
Ndio na mimi nashangaa eti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…