Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,472
- 40,832
Mafuta yenye maajabu ni KY tu mengine sanaa tuHabari ya leo tena wana jf
Kumbuka mimi sifundishi uchawi wala ulozi wala sifanyi mtu amkufuru Mungu ukiona ndani ya nafsi yako unapata ukakasi juu ya elimu hizi na imani yako
Ni vyema ukajitenga kabisa na mada kama hizi, maana naamini kuna wengine wanahitaji kupata ufahamu tu hata pasipo kuyafanya
Haya sasa naenda katika mada husika
hapa siongelei grisi ile fundi maiko anaitumia kuweka katika magari kulainisha vyuma na kuzuia kusagana hapana hapana hapana..
Nanyoosha vidole kidogo....
Haya naendelea.
Kuna aina fulani ya mafuta hupatikana katika mwili wa mnyama, hapa ni wale wanyama tunaokula kabisaaaa,
Kumbuka wana aina mbalimbali za mafuta nk.
Sasa kuna mafuta huchukuliwa yanakaa sehemu fulani ndani ya mnyama(Sitaongea kwasasa)
Ukishayapata hayo mafuta
Basi nenda kanunue pea mpya kabisa ya viatu hata ikiwa ni sendal sawa ila vyema vle vyakufunga kabisaaa..
nenda zile sehemu za mkusanyiko unaokaa ndani.
Mfano
Shuleni kanisani msikitini nk
paka mafuta katika viatu vyako kisha ingia ndani ya hilo jengo
Mkisha maliza taratibu zenu zakila siku hapo kama ibada masomo nk
Mnapotoka nje wewe usitoke nje bakia hapohapo umekaa jisikilizie uone maajabu ya mwaka
...
Usiogope hauna hatari wala ubaya
..
Watatoka watu wote ila utajikuta umebakia na watu fulani humo ndani wamekaa au wamesimama ama wanazungukazunguka tu,
He he he he he
ukiwaona hao jua ni michawi hiyo inayokaba watu na kuwapa shida usiku nk
Yaani hapo hata angekuwa mchawi wa kwanza duniani kote ili mradi ni mwanadamu basi hawezi kutoka nje
Yaani hawataona mlango hata kidogo
utawaona utawahurumia wanavyohangaika
sasa ili upate uhakika kama kweli jeni wachawi au ni propaganda tu?
Ukisimama na kuanza kutoka nje wote watakuja nyuma yako maana wao watakuona wewe unaijua njia yakutokea
basi wanakuja nyuma yako mda huohuo wanakufuta wanaogopa usijeondoka na wakabakia eneo wasilolijua
hawana kukuuliza wala hawajui kama niwewe umefanya
Basi ukitoka tu nje ndio wataona mlango
nakuambia kesho ama siku nyingine umewapa mtihani sana watakuwa waoga kuingia kabisa humo ndani
sasa usije jaribu kuvua viatu na kuviacha humo humo nawewe ukatoka
ha ha ha ha ha
umeleta balaa ndugu usije fanya hayo
Haya Mapambano Mema Juu Ya Corona
Hapa sio uchawi wala ulozi wala hakuna unalomkosea Mungu ni mambo yakawaida kama wale mnaoweka mikaa kwenye droo zenu za hela au mitulatula kuzuia chuma ulete nk
ukona yanakusumbua na Imani yako ni vyema kuahcna kabisa na maandiko yangu
Over!
The f**k ....
Je ukienda pale soko la kkoo si watabaki robo tatuHabari ya leo tena wana jf

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo....Sidhani ....kama kuna ukweli kumnasa mchawi panaitajika ...Elimu kubwa ya uloz...nawala sio simple kama unavyojitanabaisha.....Muuza kahawa Tupe yule mluke.
Na wewe mpaka tukufuate inbox?,kumbe kuna biashara hapa,lolHayo mafuta nayaelewa sana mkuu tumetumia sana kwenye mambo flani ivi kujitengenezea kipato
Sent using Jamii Forums mobile app
nikweli usemaloHapo....Sidhani ....kama kuna ukweli kumnasa mchawi panaitajika ...Elimu kubwa ya uloz...nawala sio simple kama unavyojitanabaisha.....Muuza kahawa Tupe yule mluke.
Your welcome
sio kama hivyo liwe jengo la mlango mmoja tuu
Ha ha ha ha haMshana Jr njooo huku tunalishwa tango poriii
Kanunue box la biskuti kubwa kula kisha ingia hapo mkuuu
mafuta haya hutolewa katika eneo/kiungo gani cha mnyama, nijulishe imboboSasa kuna mafuta huchukuliwa yanakaa sehemu fulani ndani ya mnyama(Sitaongea kwasasa)
Mafuta??? Me najua ukichukua tongotongo za mbwa ukajipaka usoni wachawi unawaonaa!Habari ya leo tena wana jf
Kumbuka mimi sifundishi uchawi wala ulozi wala sifanyi mtu amkufuru Mungu ukiona ndani ya nafsi yako unapata ukakasi juu ya elimu hizi na imani yako
Ni vyema ukajitenga kabisa na mada kama hizi, maana naamini kuna wengine wanahitaji kupata ufahamu tu hata pasipo kuyafanya
Haya sasa naenda katika mada husika
hapa siongelei grisi ile fundi maiko anaitumia kuweka katika magari kulainisha vyuma na kuzuia kusagana hapana hapana hapana..
Nanyoosha vidole kidogo....
Haya naendelea.
Kuna aina fulani ya mafuta hupatikana katika mwili wa mnyama, hapa ni wale wanyama tunaokula kabisaaaa,
Kumbuka wana aina mbalimbali za mafuta nk.
Sasa kuna mafuta huchukuliwa yanakaa sehemu fulani ndani ya mnyama(Sitaongea kwasasa)
Ukishayapata hayo mafuta
Basi nenda kanunue pea mpya kabisa ya viatu hata ikiwa ni sendal sawa ila vyema vle vyakufunga kabisaaa..
nenda zile sehemu za mkusanyiko unaokaa ndani.
Mfano
Shuleni kanisani msikitini nk
paka mafuta katika viatu vyako kisha ingia ndani ya hilo jengo
Mkisha maliza taratibu zenu zakila siku hapo kama ibada masomo nk
Mnapotoka nje wewe usitoke nje bakia hapohapo umekaa jisikilizie uone maajabu ya mwaka
...
Usiogope hauna hatari wala ubaya
..
Watatoka watu wote ila utajikuta umebakia na watu fulani humo ndani wamekaa au wamesimama ama wanazungukazunguka tu,
He he he he he
ukiwaona hao jua ni michawi hiyo inayokaba watu na kuwapa shida usiku nk
Yaani hapo hata angekuwa mchawi wa kwanza duniani kote ili mradi ni mwanadamu basi hawezi kutoka nje
Yaani hawataona mlango hata kidogo
utawaona utawahurumia wanavyohangaika
sasa ili upate uhakika kama kweli jeni wachawi au ni propaganda tu?
Ukisimama na kuanza kutoka nje wote watakuja nyuma yako maana wao watakuona wewe unaijua njia yakutokea
basi wanakuja nyuma yako mda huohuo wanakufuta wanaogopa usijeondoka na wakabakia eneo wasilolijua
hawana kukuuliza wala hawajui kama niwewe umefanya
Basi ukitoka tu nje ndio wataona mlango
nakuambia kesho ama siku nyingine umewapa mtihani sana watakuwa waoga kuingia kabisa humo ndani
sasa usije jaribu kuvua viatu na kuviacha humo humo nawewe ukatoka
ha ha ha ha ha
umeleta balaa ndugu usije fanya hayo
Haya Mapambano Mema Juu Ya Corona
Hapa sio uchawi wala ulozi wala hakuna unalomkosea Mungu ni mambo yakawaida kama wale mnaoweka mikaa kwenye droo zenu za hela au mitulatula kuzuia chuma ulete nk
ukona yanakusumbua na Imani yako ni vyema kuahcna kabisa na maandiko yangu
Over!
Kuhusu kuona wachawi nitofauti na mada yangu hapo juu lakini ukichukua pia mate ya mbwa ukajipa katika paji la uso basi utayoyaona uwe na roho ngumuMafuta??? Me najua ukichukua tongotongo za mbwa ukajipaka usoni wachawi unawaonaa!
Acha kusumbua watu, wewe na sisi tunatumia mafuta ya simba sasa mbona hausemi wazi.Habari ya leo tena wana jf
Kumbuka mimi sifundishi uchawi wala ulozi wala sifanyi mtu amkufuru Mungu ukiona ndani ya nafsi yako unapata ukakasi juu ya elimu hizi na imani yako
Ni vyema ukajitenga kabisa na mada kama hizi, maana naamini kuna wengine wanahitaji kupata ufahamu tu hata pasipo kuyafanya
Haya sasa naenda katika mada husika
hapa siongelei grisi ile fundi maiko anaitumia kuweka katika magari kulainisha vyuma na kuzuia kusagana hapana hapana hapana..
Nanyoosha vidole kidogo....
Haya naendelea.
Kuna aina fulani ya mafuta hupatikana katika mwili wa mnyama, hapa ni wale wanyama tunaokula kabisaaaa,
Kumbuka wana aina mbalimbali za mafuta nk.
Sasa kuna mafuta huchukuliwa yanakaa sehemu fulani ndani ya mnyama(Sitaongea kwasasa)
Ukishayapata hayo mafuta
Basi nenda kanunue pea mpya kabisa ya viatu hata ikiwa ni sendal sawa ila vyema vle vyakufunga kabisaaa..
nenda zile sehemu za mkusanyiko unaokaa ndani.
Mfano
Shuleni kanisani msikitini nk
paka mafuta katika viatu vyako kisha ingia ndani ya hilo jengo
Mkisha maliza taratibu zenu zakila siku hapo kama ibada masomo nk
Mnapotoka nje wewe usitoke nje bakia hapohapo umekaa jisikilizie uone maajabu ya mwaka
...
Usiogope hauna hatari wala ubaya
..
Watatoka watu wote ila utajikuta umebakia na watu fulani humo ndani wamekaa au wamesimama ama wanazungukazunguka tu,
He he he he he
ukiwaona hao jua ni michawi hiyo inayokaba watu na kuwapa shida usiku nk
Yaani hapo hata angekuwa mchawi wa kwanza duniani kote ili mradi ni mwanadamu basi hawezi kutoka nje
Yaani hawataona mlango hata kidogo
utawaona utawahurumia wanavyohangaika
sasa ili upate uhakika kama kweli jeni wachawi au ni propaganda tu?
Ukisimama na kuanza kutoka nje wote watakuja nyuma yako maana wao watakuona wewe unaijua njia yakutokea
basi wanakuja nyuma yako mda huohuo wanakufuta wanaogopa usijeondoka na wakabakia eneo wasilolijua
hawana kukuuliza wala hawajui kama niwewe umefanya
Basi ukitoka tu nje ndio wataona mlango
nakuambia kesho ama siku nyingine umewapa mtihani sana watakuwa waoga kuingia kabisa humo ndani
sasa usije jaribu kuvua viatu na kuviacha humo humo nawewe ukatoka
ha ha ha ha ha
umeleta balaa ndugu usije fanya hayo
Haya Mapambano Mema Juu Ya Corona
Hapa sio uchawi wala ulozi wala hakuna unalomkosea Mungu ni mambo yakawaida kama wale mnaoweka mikaa kwenye droo zenu za hela au mitulatula kuzuia chuma ulete nk
ukona yanakusumbua na Imani yako ni vyema kuahcna kabisa na maandiko yangu
Over!
UwongoooooKuhusu kuona wachawi nitofauti na mada yangu hapo juu lakini ukichukua pia mate ya mbwa ukajipa katika paji la uso basi utayoyaona uwe na roho ngumu
ha ha ha nikweli ndugu ila kumbuka mambo hayo nitofauti kutokana na tamaduni na asili za watu husika wengine wanazikia sanda wengine wanaziki majeneza wengine wanatumia ngozi.Acha kusumbua watu, wewe na sisi tunatumia mafuta ya simba sasa mbona hausemi wazi.
Kuna mtu amekulazimisha kuwa ukubali?Uwongooooo