Maajabu ya dunia

Haaaa,,,,,,aliyo tuma hiyo post ni nani kwani maana yalivyowashuka
 
Ni Kweli Haipo ndiyo maana ameshindwa kuiweka hapa tuione.

Hajashindwa kuweka ni kuwa huo mti mkubwa sana unashindwa kutoshea kwenye laptop yake, naomba asifanikiwe asije tuulia visimu vyetu vya kichina
 
Kama ni maajabu hayataki mewani ukiyaona utayajua na Hili ni moja wapo
 
Geuza upande wa pili wa simu yako labda matawi yametokeza kwa nje
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…