Wale wakazi wa Kilimanjaro pia naamini wanajua mji unaitwa kifaru, upo baada ya kutoka Mwanga kama unaelekea Himo. Hiyo sehemu iliitwa hilo jina kwa sababu kuna mlima karibu na huo mji ambao una shape kama ya kifaru. So hata hapa Tz tuna maajabu kama hayo mengi tu.