Vipi unasema umeona Kila kitu kwenye hii Dunia basi nakuambia Kuna maajabu ujawahi kuyaona bhana
Kampuni ya MSCHF imetengeneza begi dogo zaidi ya Punje la Aragwe Yani sio poa [emoji16]
View attachment 2675278
Begi ni dogo sana kiasi kwamba unaweza kuliangalia kwa kutumia microscope
View attachment 2675279
begi Hilo limeuzwa kwa dollar za kimarekani [emoji383]63750 sawa na Tsh milioni mia moja na hamsini na Tatu laki tisa na elfu hamsini na sita za kitanzania na point point [emoji16]
Linaweza tumika kwenye fashion na shughuli mbalimbali. Ebu tuambie una la kusema lolote?
View attachment 2675280