lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Kwetu Tanzania,nasikitika sana siku za uchaguzi wa kisiasa hata kama ni udiwani tu achilia mbali ubunge na u rais ni siku za hekaheka na hofu kubwa tofauti na kwa wenzetu.
Kwa wenzetu chaguzi hufanyika kama starehe fulani au aina ya outing fulani hivi,unaweza kuwakuta wagombea wa vyama vyote wamekaa pamoja mahala fulani wakinywa mivinyo baada ya wao kumaliza kupiga kura,wakicheka na kuongea na mshindi akipatikana mshindwa humpongeza.
Nasikia siku za uchaguzi vikundi vya muziki hutumbuiza kuwapa raha na utulivu wapiga kura,hakuna hata mgambo barabarani ni kama vile kwenda msikitini au kanisani.
Kwetu Tanzania,magari ya jeshi,polisai,magari ya ffu washawasha huranda randa mitaani,cha kusikitisha sana wale wenye mioyo ya hofu hutoroka nchi na kwenda nchi jirani ili kupisha uchaguzi na mara uchaguzi ukipita hurudi nchini. Hii inanisikitishaga sana!! ushindi ni kufa na kupona.
Bila watu fulani kulinda kura imekula kwao,hii haipo mahali popote duniani cha kushangaza, kuna watu wanajisifia kwa matokeo ya uchaguzi wa Tanzania.
Tazama huu mfano,baba ananunua mtihani ili mwanae afaulu mtoto anafaulu kwa mtihani wa kununua,baba anaangusha bonge la pati kwa kuwa mwanae amefaulu, hii ni sawasawa ni matokeo ya ubunge ya baadhi ya majimbo ambayo baadhi yetu tunajivunia sana kwamba ni ushindi wa kishindo ooh ushindi wa tsunami mara ooh.....!
Tafakari, Ni mtazamo tu.