Aman Ng'oma
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 968
- 542
Sasa hivi chama cha mapinduzi (ccm) kipo katika kikao maalum cha kamati kuu huko dodoma,pamoja na mambo mengine kinaandaa mabadiliko makubwa ya kichama na kuelekea katika mabadiliko hayo kamati ya wenyeviti na makamu wenyeviti wastaafu wameundiwa kamati maalum kusimamia mabadiliko hayo ya kichama. Miongoni mwa waliochaguliwa ni pamoja na Rais mstaafu wa awamu ya pili,Alhaji Ally H.Mwinyi, Rais wa awamu ya tatu Benjamini mkapa,Pius Msekwa,Rais mstaafu wa Zanzibar Abeid Aman Karum nk.
Kitu kimoja najiuliza mabadiliko gani wanayoyataka ccm yatokee kwa kuwaweka watu wale wale wenye mtazamo ule ule?Huu ni mzaha na kucheza na akili za watanzania.

Kamanda mpaka tufikie 2015 tutapata single kibao, mara kujivua gamba, sasa mabadiliko makubwa mapya, Mabadiliko hayo yatatoka wapi/ Hiyo ni laana ya waasisi ambao walitupiliwa mbali na kuvunja Azimio la Arusha, kuuza raslimali za Taifa kwa jina la Ubinafishaji, haiwezekani watu walewale, mawazo yale yale, mfumo uleule ulete mabadiliko haijawahi kutokea. Hata Nyerere alipoona mawazo yake ya Ujamaa na Kujitegemea waliposhindwa kumsaidia aliamua kupisha na ndipo alipokuja Mwinyi akaleta sera za ruksa.
Hapo Watanzania wahesabu maumivu tu,itawezekanajen hao hao ndo walio na hisa kwenye makampuni na watuletee mabadiliko yoyote ya maana.
They think to rule the people 4reva...Hilarious!!
hiyo ndo kiboko ya CHADEMA. wazee wenye busara wapo CCM, chadema kuna wazee hovyo wakiwakilishwa na Dr Slaa
hiyo ndo kiboko ya CHADEMA. wazee wenye busara wapo CCM, chadema kuna wazee hovyo wakiwakilishwa na Dr Slaa
Sasa hivi chama cha mapinduzi (ccm) kipo katika kikao maalum cha kamati kuu huko dodoma,pamoja na mambo mengine kinaandaa mabadiliko makubwa ya kichama na kuelekea katika mabadiliko hayo kamati ya wenyeviti na makamu wenyeviti wastaafu wameundiwa kamati maalum kusimamia mabadiliko hayo ya kichama. Miongoni mwa waliochaguliwa ni pamoja na Rais mstaafu wa awamu ya pili,Alhaji Ally H.Mwinyi, Rais wa awamu ya tatu Benjamini mkapa,Pius Msekwa,Rais mstaafu wa Zanzibar Abeid Aman Karum nk.
Kitu kimoja najiuliza mabadiliko gani wanayoyataka ccm yatokee kwa kuwaweka watu wale wale wenye mtazamo ule ule?Huu ni mzaha na kucheza na akili za watanzania.
hiyo ndo kiboko ya CHADEMA. wazee wenye busara wapo CCM, chadema kuna wazee hovyo wakiwakilishwa na Dr Slaa
Mbona nyie mmegeuka kuwa wasemaji wa CCM? ni hivi majuzi tu mlikuwa mnalalama kitendo cha HAMY-D kuweka hadharani uozo wa CHADEMA