Maajabu ya ccm mtaa wa migombani

Huyu jamaa wa NCCR alitoka CCM akataka kugombea kama ukawa tukamtosa, sasa hivi yuko pamoja na CCM kutaka uchaguzi urudiwe kienyeji.

Hilo limuruki na usishangae ameishavuta chake kwa lengo la kuunganisha kura zake kiduchu na miccm yake.

Wakisumbua piga kura ya wazi......panga mstari wazijue mbichi na mbivu. Zaidi wakisumbua walazimishe kufikiri....huku kwetu kuna diwani mlewa madaraka anasumbua kama hao watoto wa mafisadi......ila...
 

Maajabu Hayo Yako Pia Karukekere.Bunda
 

Hata uchaguzi ukirudiwa hao maesrow watakiona cha moto.
watajua tu hilo genge lao la majizi halina nafasi tena.
wanapoteza mda wao tu. Wait and see
 
Haya umeyatoa wapi mbona wengine hatuyasikii wala kuyaona?
 

Wao watakuwa na viongozi wao ambao sio halali na hamtawasikiliza kwa ushahidi mlionao, nanyi mtakuwa na wa kwenu ambao ni halali na mtafanyanao kazi.
 

Hivi ndivyo vitendo nilivoviita ubaramaka na umalaya wa siasa kwenye moja ya makala yangu.
Mwenye mamlaka ya kutengua matokeo ni mkurugenzi kama msimamizi mkuu wa uchaguzi na si watoto wa mabaali
Mnapaswa kuomba msaada wa kisheria makao makuu ya chama haraka iwezekanvyo.Najua kuna wanasheria wazuri ambao wangeweza kusaidia kama chama chenu nacho kitaacha upuuzi wa kuwekeza nguvu nyingi makao makuu na kusahau kwamba huku chini ndiko kuna wapiga kura
 
Haya umeyatoa wapi mbona wengine hatuyasikii wala kuyaona?

Si kila mtu amepewa macho ya kuona na masikiria ya kusikia yawezekana una macho lakini huoni. Masikio lakini husikii
 

Ok basi ni wajibu wenu kukomaa huyo mgombea wa chadema asiporwe ushindi, wakifanikisha hilo leo basi mjue hata 2015 mtakuwa na hali ngumu kulinda msiporwe ushindi.
 
Siku ya kufa nyani miti yote huteleza
 
Nataka kujua tu kwa nini Chadema na Nccr hawakushirikiana? Kumbe UKAWA ni maneno tu hakuna utekelezaji

Wew si ni wakusoma, kula, kulala bure!? Kua uyaone dada wewe bado kigoli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…