chingunduli
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 268
- 51
- Thread starter
-
- #21
Sijui hapo ilikuwaje UKAWA wakawa na wagombea wawili, wa CDM na nccr!
Kuna wagombea wawili wa UKAWA. Wa CDM aliyepata kura 547 na nccr aliyepata kura 205, aliyepenyezwa ni huyo wa nccr? Kama ndivyo mbona alipata kura nyingi sana karibu sawa na yule wa ccm!CCM walimpenyeza mtu wao ili agombee kupitia ukawa tukamshitukia na wananchi walilijua hilo wakamkataa pia.
Kuna wagombea wawili wa UKAWA. Wa CDM aliyepata kura 547 na nccr aliyepata kura 205, aliyepenyezwa ni huyo wa nccr? Kama ndivyo mbona alipata kura nyingi sana karibu sawa na yule wa ccm!
Hili lapaswa kuwa funzo kwa UKAWA kwa chaguzi zitakazofuata.
hao watoto wa mahanga na masaburi ni kama akina nani maana najua wote ni walevi mbwa.... kila kitu kiko wazi ushindi ni wa CDM....
Mi niulize tu kuwa kwa nini chadema na nccr wote walisimamisha wagombea?
Fomu za huyo mgombea ziliidhinishwa na ccm?Hapa wa kujifunza ni CCM walimpenyeza mtu wao mwisho wa siku zikagawanyika kura zao
Uzoefu umeonyesha..,kadri uchaguzi unavyorudiwa ndio kura za CCM zinazidi kupungua..,wacha warudie alafu uone kama watapata hata kura 10.Katika uchaguzi uliopita wa serikali ya mtaa katika mtaa wa migombani kata ya segerea Matokeo ni kama ifuatavyo CHADEMA nafasi ya mwenyekiti ilipata kura 547 na CCM ilipata kura 215 na NCCR ilipata kura 205. Uchaguzi wa wajumbe haukufanyika kutokana na kasoro mbali mbali katika karatasi za wagombea ujumbe hivyo ukarudiwa tarehe 21 na Matokeo ni kwamba Wajumbe wa chadema walishinda kwa kura 410- hadi 390 huku wale wa ccm wakipata kura 20-60 mara zote za uchaguzi, ccm waligoma kusign karatasi za Matokeo . Mara baada ya kumaliza uchaguzi ameibuka mtoto wa makongoro Maanga na Masaburi wanatangaza kuwa uchaguzi utarudiwa bila sababu yoyote na mkuu wa mkoa katangaza kurudia uchaguzi siku ya hotoba ya jk na wazee wake. Wanaojua sheria tunaomba mtusaidie ni halali kurudia uchaguzi baada ya kutangazwa ushindi kwa muda wa wiki mbili? Ni nani anyeweza kutengua Matokeo kisheria baada kutangazwa kisheria? Nimeambatanisha karatasi za Matokeo yote
Huyu jamaa wa NCCR alitoka CCM akataka kugombea kama ukawa tukamtosa, sasa hivi yuko pamoja na CCM kutaka uchaguzi urudiwe kienyeji.
Fomu za huyo mgombea ziliidhinishwa na ccm?
Sasa ccm analaumiwa kwa lipi hapo!Tanzania ni zaidi ya tuijuavyo, huyu jamaa huwezi amini ukweli ni kwamba fomu zake ziliidhinishwa na mkewe ambae alimpa cheo cha ukatibu wa chama.
Hongereni kwa kumstukia mamluki... Je ilikuwaje NCCR wanaendelea kumlea na kumpatia mpaka muhuri?
Siyo siri hapo kutakuwa na hujuma nzito.