Maajabu ya Bernard Membe

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Posts
10,942
Reaction score
437
1. Anasema anafaa kuwa mrithi wa JK ikulu mwaka huu kwa sababu anaongea na Rais Kikwete na anamtembelea Ikulu karibu kila siku.

2. Anasema njia ya kumaliza tatizo la foleni Dar ni kujenga round about kwenye kila njia panda.

3. Anasema anaweza kuongoza nchi kwa sababu ana baraka zote za mizimu ya Wamwera na za Mwl Nyerere alizopatiwa mara baada ya kupiga magoti kwenye kaburi lake.

4. Anasema atatua kero za Watanzania wakati alishindwa kumshauri JK wanayezungumza kila siku kutatua kero za watanzania.

4. Anasema mwaka huu lazima aingie Ikulu hata kwa goli la mkono kwani ana baraka zote za ngazi ya juu.

5. Atawafunga wapokea rushwa wote na kuwasamehe watoa rushwa wote. Hii ni sheria ya Membe tu.

6. Membe ni mgombea wa kipekee ambaye kila anapotua kwenye mkoa wenye mgombea mwenzake anahaidi kumuunga mkono mwenzake

. Ameshamwahidi Makongoro Nyerere, Mark Mwandosya n.k huku akiwaponda wenzake.

Ikumbukwe mwanzoni alisema wote hawana sifa ya kuingia Ikulu isipokuwa yeye pekee. Huu ni ujasiri wa hali ya juu wa unafki uliopitiliza anaouonyesha Membe.
 
Mkuu ur thinking out of da box....
Kiongozi bora hawezi kutoka katika ccm...
 
Wenzake wanahimiza Watu waombee TAIFA ..yeye anasema Ana Baraka za mizimu? No wounder..
 
niliyasikia nikamshangaa nikaupima ubora wa membe kuyafanya haya sikupata jibu,
 
l
kweli taifa hili linaitaji rais aina ya membe kweli? pengine wajipime naccm ikimpitisha mtu kama huyu ni aibu tupu.
 
Wenzake wanahimiza Watu waombee TAIFA ..yeye anasema Ana Baraka za mizimu? No wounder..

Pia kasema ataweka kamera katika maeneo muhimu kama mabenki kuzuia wizi. Wakati hela za ESCROW ziliibiwa mbele ya kamera za CCTV na yeye akiwa waziri mwandamizi. Poor Membe...?
 
Kama huwa anaenda ikulu Kila siku, huyo hatufai hata Kidogo Coz angemshaur mkuu kweny mambo makubwa ya serikali, Kwhy nayeye ameshindwa
 
Ccm ccm onen aibu mmeharibu nchi baraza la waziri karibu lote linawaza urais hatuchagui maccm tukutane October
 
bora ndugu yetu angejificha KATIKA kivuli cha ilani ya CCM, maana naona kaishiwa hoja tokea siku ya kwanza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…