wewe si useme tu unauza asali. hayo mengine yote ni porojo tu.Habari wadau!
Asali mbichi ni miongoni mwa suluhisho rahisi sana la kuondoa kitambi kwa wale wenye vitambi wasivyovihitaji. Chemsha maji kisha yamimine kwenye glass yenye unga wa mdalasini kiasi cha kijiko kimoja cha chakula, kisha funika glass yako kwa muda ili maji yapoe kidogo na kuwa katika hali ya uvuguvugu kisha weka asali kijiko kimoja cha chakula na koroga vizuri ili asali ichanganyike vizuri na maji. Kunywa yakingali ya uvuguvugu,kutwa mara tatu.
Mchanganyiko huo unasaidia yafuatayo:-
-kuondoa harufu mdomoni
-kupunguza uzito na kitambi
-kuzibua mirija ya uzazi inayoanza kuziba
-kuongeza hamu ya tendo la ndoa
Tatizo linalojitokeza kwa wakazi wengi wa mijini ni namna ya kupata asali mbichi,kwani asilimia kubwa ya asali inayouzwa mitaani ni feki.
Wakazi wa Dar es salaam na Pwani wasiliana nami kwa mahitaji ya asali mbichi ya nyuki wakubwa kutoka tabora.Lita moja yenye uzito wa takribani kilo1.5 ninauza kwa sh.12000/=
Piga simu na.0718-257185
Mji huu kila muuza asali atakwambia mbichi hata kama sukarigulu
Mkuu Ndohu, mimi ntakuuzia asali kwa shs.9,500/kg(Lita) kama utanunua kuanzia kg/Lita 5-10, na below 5 nitakuuzia shs.10,500. PM kwa order tu,napatikana Dar-pure asali ya Tabora.Habari wadau!
Asali mbichi ni miongoni mwa suluhisho rahisi sana la kuondoa kitambi kwa wale wenye vitambi wasivyovihitaji. Chemsha maji kisha yamimine kwenye glass yenye unga wa mdalasini kiasi cha kijiko kimoja cha chakula, kisha funika glass yako kwa muda ili maji yapoe kidogo na kuwa katika hali ya uvuguvugu kisha weka asali kijiko kimoja cha chakula na koroga vizuri ili asali ichanganyike vizuri na maji. Kunywa yakingali ya uvuguvugu,kutwa mara tatu.
Mchanganyiko huo unasaidia yafuatayo:-
-kuondoa harufu mdomoni
-kupunguza uzito na kitambi
-kuzibua mirija ya uzazi inayoanza kuziba
-kuongeza hamu ya tendo la ndoa
Tatizo linalojitokeza kwa wakazi wengi wa mijini ni namna ya kupata asali mbichi,kwani asilimia kubwa ya asali inayouzwa mitaani ni feki.
Wakazi wa Dar es salaam na Pwani wasiliana nami kwa mahitaji ya asali mbichi ya nyuki wakubwa kutoka tabora.Lita moja yenye uzito wa takribani kilo1.5 ninauza kwa sh.12000/=
Piga simu na.0718-257185
Hii Promo ya KUUZIA ASALI ni sawa kabisa
lakini eti inatibu magonjwa kadhaa, mara Kitambi mara kuongeza hamu ya tendo ni UONGO MTUPU
MM sasa nina asali ya nyuki wadogo toka Tabora tena mbichi kabisa
ni nzuri kwa afya, lkn km na kitambi na maonjwa mengine wahi mazoezi ikishindikana muone Dr Hospitali
Mkuu Ndohu, mimi ntakuuzia asali kwa shs.9,500/kg(Lita) kama utanunua kuanzia kg/Lita 5-10, na below 5 nitakuuzia shs.10,500. PM kwa order tu,napatikana Dar-pure asali ya Tabora.
Mkuu naubaliana na wewe kabisa km unawafunga nyuki na unarina AsaliUnawakubali akina nani? na kivipi?
Inyonga ndo wapi mkuu?
Hahahahahaaaaa