AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,649
- 4,756
Hawa watu hawafai hata kusaidiwa wakikutwa kwenye matatizo...dhulma tu...Wanachukiwa sana polisi. Nina marafiki polisi lakini siweki imani yangu kwao. Halafu wananjaa kinoma
Wote humo humo...Ni watu poa tu sema msafara wa mamba kenge hawakosi
Wengi wanajitoa ufahamu.Ni watu poa tu sema msafara wa mamba kenge hawakosi
Yaan sijui wanajikutaga kina nani?Wengi wanajitoa ufahamu.
Wakishakabidhiwa ila manati....kiburi juu
Waambie ipo siku wanaweza fokea wakubwa wao wa kazi ohooo...Yaan sijui wanajikutaga kina nani?
Juzi kati hapa nilikuwa na shida polisi, kufika ka mdada eti kananifokea bila ht sababu. Nikikaangalia ka mdada kenyewe kadogo yaan nakazidi umri mbali tu, nikakapuuzia.
Mara akatokea jamaa mmoja hapo nafahamiana nae seems like alikuwa mkubwa kwa cheo. Alivyonipokea basi nacho kikaanza kujiongelesha eti kumbe ulikuwa mgeni wa flan, si ungesema. Mwenyewe nikawa niko busy tu na yule jamaa ht sikukajibu tena wala kukafuatilia.
Ila kaliniboa balaa.
Wao wacha walete unafki wabebane ila Mungu hana unafki.Mara nyingi ajali zinazowahusu polisi...huwaga hazina taarifa za ziada...pale inapotokea gari ya polisi imepata ajali yenyewe...wala hawasemi labda chanzo cha ajali ni UZEMBE WA DEREVA(Askari Mwenyewe)...AU MWENDOKASI...
Unakuta taarifa ambazo hazina hata maana...eti alikuwa anaenda kwao...sasa kwani akiwa anaenda kwao ndio iwe sababu ya ajali...?
ILA HAWA WAKIWAGA KWENYE UNIFORMS ZAO...UTASEMA WAO SIO BINADAM KAMA SISI...ROHO PIA ZINABADILIKA...
Mzee hao watu road sign na road marks huwa haziwahusu..zinatuhusu ss raia ..usishangae kuona gari ya polisi inaovertake kwenye kona kali au mlumaniWanaendesha gari binafsi kama defender na hawafuati vibao vya 50 wakifikiri chombo cha moto kinatii amri bila shuruti.
Nayo hii ni habari.Mara nyingi ajali zinazowahusu polisi...huwaga hazina taarifa za ziada...pale inapotokea gari ya polisi imepata ajali yenyewe...wala hawasemi labda chanzo cha ajali ni UZEMBE WA DEREVA(Askari Mwenyewe)...AU MWENDOKASI...
Unakuta taarifa ambazo hazina hata maana...eti alikuwa anaenda kwao...sasa kwani akiwa anaenda kwao ndio iwe sababu ya ajali...?
ILA HAWA WAKIWAGA KWENYE UNIFORMS ZAO...UTASEMA WAO SIO BINADAM KAMA SISI...ROHO PIA ZINABADILIKA...
Mara nyingi ajali zinazowahusu polisi...huwaga hazina taarifa za ziada...pale inapotokea gari ya polisi imepata ajali yenyewe...wala hawasemi labda chanzo cha ajali ni UZEMBE WA DEREVA(Askari Mwenyewe)...AU MWENDOKASI...