(1)musa alikata bahari ya sham kwa fimbo
(2)yesu alitembea juu ya maji
(3)yesu alifufua wafu
(4)yesu aliponya vipofu wakaona
(5)yesu alilisha watu elfu 5 vipanda 3 vya mkate wakala na wakashiba
(6) yesu alifufuka baada ya siku 3 kutoka katika wafu
(7)mkojo wa tundu lisu wapatikana na kosa la uchochezi baada ya vipimo
Maajabu yaliyopatika kwenye mkojo wa tundu lisu jana,ingekuwa ni enzi za maandiko ya vitabu vya kihistori,majibu ya uchochezi yaliyopatikana kwenye wa vipimo vya mkojo tundu lisu yangebaki kwenye historia ya vitabu milele na milele