Maajabu saba ya dunia..........Kili not there!!!

kili haipo kweli..serikali inaanza kutangaza kukiwa kumebaki siku 2 wapi na wapi..pumbavu zao kina pinda
 
katika hivyo vivutio vyote ulivyoonyesha kijana Ruta hamna hata kimoja kinachoufikia mlima wetu.Kwanza hivyo vivutio vyao vinahitaji aidha usafiri wa anga au majini ili uweze kupata clear view tena inabidi uvute hisia kwanza ndio ugundue uzuri wake.Wakati mlima wetu tunatumia miguu tu kuufaidi hivyo hata wenye kipato cha chini wanaweza kuuona uzuri wake.


By the way hata kama mlima wetu hautapata kura za kutosha utaendelea kutuingizia mshiko kama kawa.
 
Nikweli uliyoyaonesha ni ya ajabu, lakini hata nikiweka uzalendo pembenu ni kwamba umeshindwa kufuatilia mambo yakipekee yanayoufanya kili uwe mlima wa kipekee duniani, numegundua wewe ni mfuatiaji wa mambo, naombo jaribu kufuatilia mambo unic ya kili hata iwe utambulisho wa Tanganyika then urudi na mtazamo huo utuambie, jaribu kufuatilia hata through google.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…