Mulangila Mukuru
JF-Expert Member
- Feb 24, 2010
- 1,945
- 729
twiga kusafirishwa kwa
ndege siajabu kwakuwa kuna ndege kubwa zinazotumika kusafirishia
mizigo.ila kwa hili la ndege ya malaysia ndio linapaswa kuwekwa kwenye
rekodi ya maajabu ya dunia.
muanzisha thread ni mshamba ,kuna vitu virefu kwenda juu kuliko twiga vinasafirishwa kila siku dunia hii
i think hoja ni kwa nn ccm wanaruhusu haya?? tunapata sh ngapi??
we acha 2! ila mi nashukuru kjjn kwe2 wilaya ya chato wa2 wameshazinduka kulikimbia dubwa ccm na ma2main ye2 2015 magufuli hana chake maana mpaka sasa 2na kata 5 jimbon karibun sana makamanda m2ongeze nguvu
Ni maajabu kwa twiga mnyama mkubwa tena wa kutisha kupakiwa ndani ya ndege na kusafirishwa nje ya nchi.
Angekuwa twiga mdogo tungesema labda lakini twiga mkubwa ni maajabu
haina shaka hili liingizwe kwenye kitabu cha rekodi za duni Guiness na liingizwe liwe la nane kama ajabu la dunia ili kuwe na maajabu 8 ya dunia.
Naishukuru serikali ya ccm kutuingiza katika rekodi ya dunia.
twiga anshingo ndefu hivo wali funua ndege kwa juu akapitisha shingo yake thn wakapaa!!! mbona simple2....
aa, SIKUBALIANI NA WEWE, HIVI UMESAHAU KUNA WATU WALIWAHI KUIBA FEDHA ZA EPA NA SERIKALI IKAWA INAWABEMBELEZA WARUDISHE, BAADHI WALIRUDISHA WENGINE HAWAKURUDISHA MPAKA LEO, NA WAZIRI MKUU ALIPOULIZWA BUNGENI AKAJIBU MAFISADI WANA NGUVU WANAWEZA KUANGUSHA SERIKALI, SASA HILI LITAKUWA AJABU LA NGAPI KAMA SIO LA KWANZA.Ni maajabu kwa twiga mnyama mkubwa tena wa kutisha kupakiwa ndani ya ndege na kusafirishwa nje ya nchi.