Uzito wa zebra aliyekomaa ni kati ya kilo 250 na400, shingo ya twiga haiwezi kustahimili uzito huo.Hivi zebra kwa wastani huwa na kilo ngapi?
Sent from my GT-P7500 using Tapatalk 2
Hivi zebra kwa wastani huwa na kilo ngapi?
Sent from my GT-P7500 using Tapatalk 2
kama yule babu anayejiita kijana wa bongo fleva a.k.a fotojeniki wa magogoniAlitaka kubembea tu huyu.
alijirusha sana nae, hajui hata kulenga!!alianza kwa kumnusa nusa huko nyuma halafu akamparamia
kama yule babu anayejiita kijana wa bongo fleva a.k.a fotojeniki wa magogoni
Plain truth!! Walikula aina flani ya majani yaitwayo CANNABIS SATIVA, na ndio matokeo yake hayo Lily Flower.
alianza kwa kumnusa nusa huko nyuma halafu akamparamia
Hawa wamebebana kumuangalia Kinana yuko upande gani asijekuja kuwamaliza.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Uzito wa zebra aliyekomaa ni kati ya kilo 250 na400, shingo ya twiga haiwezi kustahimili uzito huo.
Hii ni photoshop. Ipo nyingine shingoni kwa twiga yuko simba badala ya zebra.
MA-I-GE, KI-NA-NA & Company Wamesababisha hawa wanyama waanzishe ulinzi shirikishi
MA-I-GE, KI-NA-NA & Company Wamesababisha hawa wanyama waanzishe ulinzi shirikishi