Sijasikia kuwa NECTA wameshusha viwango vya kufanya mtihani wa form six. Je umeshuhudia kwa macho yako kuwa ana C mbili tu na amechaguliwa kwenda form five au ni yeye aliyekueleza? Nauliza hiyvo kwa sababu sifa ya kuchaguliwa kwenda form five ya serikali ni lazima uwe na C tatu na kuendelea. Sasa kama rafiki yako kapata kwa C mbili basi kuna makosa somewhere. Ni heri afuatilie apate uhakika vinginevyo atakwama huko mbele, hatafanya mtihani wa form six.