strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,919
- 3,313
Mie nilidhani mawinguni siku hizi kuna mayai ya samaki amabayo yanaaguliwa yakiwa njiani kufika ardhini.
Wapare wanaombea na wao iwatokee, PEREGE warukie Ugweno......
naomba itokee hapa karibu na kwetu nitafurahi mimi navyo penda samaki
kwetu huku itokee mvua ya kupeperusha mafisadi
Bado mvua ya pesa tu
Mimi nawaombea wasipeperushwa bali kwa raha zao siku moja wajikusanye wote wapande ndege ya Malaysia Airliner wakale raha sehemu yoyote duniani...kwetu huku itokee mvua ya kupeperusha mafisadi
Kama vile senene sio?
naomba itokee hapa karibu na kwetu nitafurahi mimi navyo penda samaki