Maajabu mbalimbali duniani!

Atampata mme, japo nadhani baadae atamwacha na kutoa tangazo jingine la kutafuta mme
SILENT leo umenichekesha, yaani vitu vyote alivyopost mzizi mkavu
hujaona sehemu ya KULIKE na Ku-COMMENT isipokuwa kwa huyo anayetafuta
Mume tu!
Hata hivyo Mzizi kafanya kazi nzuri ambayo imewafanya watu wasome kwa makini
na kwa muda mrefu ndio maana wanashindwa hata Ku comment na kulike.
Ahsante mzizi Mkavu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom