Maajabu matatu ya Messi katika soka

kurlzawa

JF-Expert Member
Jan 23, 2018
16,703
20,606
1. Kufunga goals 5 katika single match kwenye UEFA champions league competition ilikuwa ni mechi dhidi ya Bayern Leverkusen

2. Kufunga hatrick katika pambano la watani wa jadi la Elclasico hii nayo ni moja kati ya records kumu mno kwa wapinzani wake kuifikia

3.kufunga goals 90 kwa mwaka mmoja mpaka sasa hakuna mtu aliyejaribu kufanya ivyo na ni record ngumu mno aliyoiweka

Mashabiki wa Cr7 mwambieni jamaa yenu afanye hayo au afunge freeckick ELCLASICO basi ndyo tumufikirie katika wachezaji bora.

LIONEL ANDRES MESSI LAPULGA CUCCITINI
 
Legendary, god of football!! Hapa mpaka kipa wa dunia alikubali mziki wake!!
tapatalk_1522833284291.jpeg
 
Mchezaji ambaye ukimwambia ligi... Atakutajia LA liga, maana hajawahi kucheza ligi nyingine,

Ukimuuliza club, atakwambia Barcelona maana hajui test ya kucheza club nyingine,

Mchezaji ambaye ameshindwa ku prove ubora wake akiwa nje ya Barcelona kwa ngazi ya club na timu ya Taifa.
 
Ubora upi ikiwa 2014 alikuwa mchezaji bora wa kombe la dunia
 
Mechi ya kagera vs Yanga Lunyamila alitupia goli 6 katika ushindi wa7-0.
 
Mchezaji ambaye ukimwambia ligi... Atakutajia LA liga, maana hajawahi kucheza ligi nyingine,

Ukimuuliza club, atakwambia Barcelona maana hajui test ya kucheza club nyingine,

Mchezaji ambaye ameshindwa ku prove ubora wake akiwa nje ya Barcelona kwa ngazi ya club na timu ya Taifa.

"Mti wenye matunda siku zote hupigwa mawe"

Unataka aende club ipi yenye hadhi kwake na yenye uwezo wa kumlipa pesa nyingi kama ambavyo wanavyomlipa Barcelona? Au wa Kwa akili zako unataka aende epl/mchangani team!!! Mbona tim zote kubwa za pale kishazibandua, unataka aonyeshe ubora upi sasa? Wabongo bana tunakazi kweli kweli :D:D:D:D

Mancity kaondoka na wake 6
Man u=wake wa 3
Arsenal wake 9
Chelsea wake 3

Jumla kishaowa wake 21...

Kwa uelewa wako kucheza ligi ya EPL ni sawa na kucheza Mechi za UEFA ambazo kwa mwaka mara moja anakutana na timu ya EPL au pengine asikutane nayo kabisa.

Pia Mechi za EPL ni zaidi ya hao uliowataja. Kuna kukutana na timu ndogo lakini ngumu, embu nitajie Stock City au Cristal Palace ya LA Liga. Wewe unadhani kwenye hiyo ligi aliyopo kuna club ambayo inashuka daraja lkn ina uwezo wa kununua mchezaji kwa pound milioni 30? Hispania mkubwa ni mkubwa tu, na mdogo ni mdogo tu.

Kwa uelewa wako hamna timu duniani ukiacha Barcelona inayoweza kumnunua na kumlipa mshahara huyo mesi, kwanza kwenye rich club league Barcelona haipo hata top 2.

Kingine huyo mesi hajawahi ku prove uwezo wake nje Barcelona, yupo kwenye comfort zone yake na anaogopa challenge nje ya Barcelona, hana guts za kucheza timu moja na mchezaji Kama Daren fletcher na achukue kombe, anataka azungukwe na akina xavi na iniesta ndio atambe.

Mwisho usininukuu vibaya, sijasema he is not a world class player, ila nilichosema he is a world class player behind CR7.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom