GE2025 Maajabu kuelekea uchaguzi mkuu Octoba, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
1. Mgombea urais wa CCM ni halali japo walivunja katiba yao.

2. Mgombea wa ACT ni batili amevunja katiba yao.

3. Mgombea wa chadema ni mhaini yuko jela.

4. CCM mbele kwa mbele.
Nchi imejaa uhuni mwingi sana. Lazima watanzania tubadilike tutetee taifa letu.
 
1. Mgombea urais wa CCM ni halali japo walivunja katiba yao.

2. Mgombea wa ACT ni batili amevunja katiba yao.

3. Mgombea wa chadema ni mhaini yuko jela.

4. CCM mbele kwa mbele.
Zitto alishajua. Na si ajabu walishakaa mezani na ccm na Msajili wakaweka dili. Mwisho wasiku Samia anagombea mwenyewe.

ZITTO NA CHAUMA=JK
ZITTO NA CHAUMA =WANAMTANDAO
ZITTONA CHAUMA=CCM
ZITTO NA CHAUMA=MSAJILI
 
1. Mgombea urais wa CCM ni halali japo walivunja katiba yao.

2. Mgombea wa ACT ni batili amevunja katiba yao.

3. Mgombea wa chadema ni mhaini yuko jela.

4. CCM mbele kwa mbele.
Kwa uoumbavu huo we ni hasara kwa Taifa. Umachanganya vt visivyo na uhusiano. Mpina hakuwa mwanachama wa ACT-Wazalendo kuna uhusiano gani na Samia. Nyie kila kt ni lialia
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
1. Mgombea urais wa CCM ni halali japo walivunja katiba yao.

2. Mgombea wa ACT ni batili amevunja katiba yao.

3. Mgombea wa chadema ni mhaini yuko jela.

4. CCM mbele kwa mbele.
Hatimaye Tanganyika ikuwa nchi ya maajabu yasiyowezekana yanawezekana...
Walipokuwa wanaambiwa No Reforms No Elections hawakuamini
 
Wao Act na ccm wamevunja sheria na kukiuka kanuni za chama ni kinyume kabisa. Ila msajiri yuko kimya ingekuwa Chadema hapo !!
 
1. Mgombea urais wa CCM ni halali japo walivunja katiba yao.

2. Mgombea wa ACT ni batili amevunja katiba yao.

3. Mgombea wa chadema ni mhaini yuko jela.

4. CCM mbele kwa mbele.
IMG-20250826-WA0082.jpg
 
Back
Top Bottom