Comrade Ally Maftah
Member
- Nov 6, 2016
- 92
- 280
Ni kweli kabisa.Nchi imejaaa wajinga sana,
Hamna kitu kama hicho, nikwambie kitu, kwanza Gambo kachekelea sana, maana Gambo siyo mzungumzaji so kupitia turufu ya Lutein basi anaiona adhuhuli.Huwezi amini kama huyo anaweza akagombana sana na Gambo
TUMIA BASI AKILI DAR ALIFANYA MAAJABU GANI AU KUVAMIA CLOUDS TV? au kumtaja Ridhiwani Manji Gwajima Mbowe ni wauza madawa?Au kumtaja Lowassa kuwa katelekeza mtoto? Nchi hii ina wajinga wengi sanaNa Comrade Ally Maftah
JITU LA MIRABA
Nashindwa kuzuia hisia zangu katika kutabiri kazi atakazofanya Mh Paul Makonda ( Katibu wa Uenezi na Itikadi Mstaafu ) mkuu wa mkoa wa Arusha.
Paul Makonda anakwenda arusha kuunganisha watendaji wa serikari na kusimamia utekelezaji wa ilani ya chama cha Mapinduzi
Paul Makonda anakwenda kuwa ishara ya nini mkuu wa mkoa anapaswa kufanya unapokabidhiwa nafasi na Mh Rais.
Paul Makonda anaenda kuwasaidia watendaji wezi, wababaifu na wazembe kunyooka viziri waache tabia za uzembe makazini ili kumsaidia vema Dr Samia Suluhu Hasani.
Paul Makonda anakwenda kutoa tumaini kwa wanyonge wa Arusha waliodhulumiwa ardhi na mali na watu wasio na huruma
Kwa mtazamo wangu, Paul Makonda ameimaliza kazi ya kukiweka sawa chama na kuwaelezea wapinga maendeleo kwamba nchi yetu bado inahitaji kuwa na amani na utengamano.
Uwezo wa Paul Makonda kubuni mbinu mbalimbali za kusukuma maendeleo utalipendezesha Jiji la Arusha na kuinua uchumi kupitia vyanzo vya mapato vilivyopo arusha.
NAKUPONGEZA SANA MH PAUL MAKONDA KWA UJASIRI NA WEREDI WAKO.
NAMPONGEZA DR SAMIA KWA KUWAPA NAFASI WANA CCM WENGI KUONYESHA VIPAJI VYAO NA KUSAIDIA NCHI YETU KUWA NA UTULIVU.
IMANI YETU WANA CCM KWAMBA DR SAMIA NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU NA KAMATI KUU TAIFA MNAENDA KUTULETEA MWANA CCM MWINGINE MZURI SANA KWA WAKATI HUU, TUTASHINDA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA KISHINDO.
Ndimi Comrade Ally Maftah
JITU LA MIRABA
0762212623
www.camstore.co.tz
View attachment 2951009
🚮Na Comrade Ally Maftah

Wewe ni mmoja wa wajinga huko ccm zao la makonda,mwanaume kumiliki wenzere ni umama huoNa Comrade Ally Maftah

CCM ina vijana wa ovyo sana,asiyemfahamu mleta uzi huu ni huyo aliye bleach nywele na ndevu,ni chawa wa nyamitakoNa Comrade Ally Maftah

TUMIA BASI AKILI DAR ALIFANYA MAAJABU GANI AU KUVAMIA CLOUDS TV? au kumtaja Ridhiwani Manji Gwajima Mbowe ni wauza madawa?Au kumtaja Lowassa kuwa katelekeza mtoto? Nchi hii ina wajinga wengi sana
Atajifurusha mwenyewe mji wa CHOGA uleNa Comrade Ally Maftah
JITU LA MIRABA
Nashindwa kuzuia hisia zangu katika kutabiri kazi atakazofanya Mh Paul Makonda ( Katibu wa Uenezi na Itikadi Mstaafu ) mkuu wa mkoa wa Arusha.
Paul Makonda anakwenda arusha kuunganisha watendaji wa serikari na kusimamia utekelezaji wa ilani ya chama cha Mapinduzi
Paul Makonda anakwenda kuwa ishara ya nini mkuu wa mkoa anapaswa kufanya unapokabidhiwa nafasi na Mh Rais.
Paul Makonda anaenda kuwasaidia watendaji wezi, wababaifu na wazembe kunyooka viziri waache tabia za uzembe makazini ili kumsaidia vema Dr Samia Suluhu Hasani.
Paul Makonda anakwenda kutoa tumaini kwa wanyonge wa Arusha waliodhulumiwa ardhi na mali na watu wasio na huruma
Kwa mtazamo wangu, Paul Makonda ameimaliza kazi ya kukiweka sawa chama na kuwaelezea wapinga maendeleo kwamba nchi yetu bado inahitaji kuwa na amani na utengamano.
Uwezo wa Paul Makonda kubuni mbinu mbalimbali za kusukuma maendeleo utalipendezesha Jiji la Arusha na kuinua uchumi kupitia vyanzo vya mapato vilivyopo arusha.
NAKUPONGEZA SANA MH PAUL MAKONDA KWA UJASIRI NA WEREDI WAKO.
NAMPONGEZA DR SAMIA KWA KUWAPA NAFASI WANA CCM WENGI KUONYESHA VIPAJI VYAO NA KUSAIDIA NCHI YETU KUWA NA UTULIVU.
IMANI YETU WANA CCM KWAMBA DR SAMIA NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU NA KAMATI KUU TAIFA MNAENDA KUTULETEA MWANA CCM MWINGINE MZURI SANA KWA WAKATI HUU, TUTASHINDA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA KISHINDO.
Ndimi Comrade Ally Maftah
JITU LA MIRABA
0762212623
www.camstore.co.tz
View attachment 2951009
Mtoa mada unaweza kazi ya kutoa mbwa bandani?Na Comrade Ally Maftah