Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,535
1.Mwanasoka mkongwe wa brazil Pele, alijipatia jina hilo la utani lenye maana katika lugha ya kibrazil na kireno “ miguu sita” (six feet),kutokana na kuwa na vidole sita katika kila mguu.
2.Mwana soka anakimbia kilomita zipatazo kumi (10) katika mchezo mmoja.
3.Mwanasoka wa kibrazil, Ronaldinho ndio mfungaji anayekumbukwa zaidi kwa kufunga mabao mengi duniani, alifunga mabao 23 akiwa na umri wa miaka 13 tu.
4.Mnamo mwaka 1998 Radi iliua wachezaji wote kumi na moja (11) wa timu moja na kuacha wachezaji wa timu pinzani wakati wa mchezo nchini DRC na kudhuru watazamaji wapatao thelathini.
5.Mnamo mwaka 1964 simu aliyopokea mwamuzi wa mchezo (refa) akiwa uwanjani huko nchini Peru ilisababisha vurugu iliyopelekea watu mia tatu (300) kufariki.
6.Washabiki wa soka nchini Columbia waingia na jeneza uwanjani la mshabiki mwenzao aliyeuawa kwa kupigwa risasi siku ya kuwania kuingia fainali akiwa na umri wa miaka17. Washabiki hao waliingia nae siku ya fainali.
7.Mnamo mwaka 1966 kombe la dunia liliibiwa na baadae mbwa akalipata siku chache kabla ya mshindano hayo kuanza. Kombe la dunia kwa mara ya kwanza lilitengenezwa kwa makaratasi na kubadilishwa baada ya kuharibiwa na mvua kali iliyonyesha. Siku hizi kombe hilo linatengenezwa na zahabu yenye uzito upatao kilo 4.97.
8.Katika kombe la dunia mwaka 1950, timu ya Soka ya India ilitaka kucheza peku, shirikisho la soka ulimwenguni (FIFA) likagoma. Timu hiyo ikasusia mashindano hayo!
9.Pele alipokwenda Nigeria kucheza soka katika mchezo wa hisani mnamo mwaka 1967, pande mbili zinapigana vita, zilikubaliana kusimamisha vita kwa muda wa masaa 48.
10.Mrtinho Eduardo Orige kutoka Brazil ndio mchezaji pekee kuchezea mpira kwa muda mrefu zaidi duniani! Alichezea mpira kwa muda wa masaa 19.5, alivunja record hiyo mnamo mwaka 2003.