pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,352
Dozi ni 1X3, hapo ni kiamsha kinywa, tulia uone chakula cha mchana. 😀Huyu jamaa akipata choo siku nne zijazo siingii jf tena...sio kwa mikate hio
Dozi ni 1X3, hapo ni kiamsha kinywa, tulia uone chakula cha mchana. 😀
dokta muuajiha haha haaaHuyu jamaa akipata choo siku nne zijazo siingii jf tena...sio kwa mikate hio
ha hahaha ha haa maninaaaaDozi ni 1X3, hapo ni kiamsha kinywa, tulia uone chakula cha mchana. 😀
Kumbeeeeeeeee ndo maana nlikuta cku moja chooni mtu kajaza sink la chooni kwa kinyesi nkaisi labda kulikua na harambeee ya kunde chooni !!! Sasa nmepata jibu
Kwenye sayansi yetu ya kiafrika kuvua shati ni lazima! 😀Shikamoo Science, all that can be covered in just one pill. 🙂
Kwenye sayansi yetu ya kiafrika kuvua shati ni lazima! 😀
Hey. Had a nice day?Hahahah!, kwa kweli, sayansi ya Ki Africa haswa! 😀
Hahaha! 😀 Maagizo yake lazima uyafate tu, tena bila ya kushurutishwa!![]()
![]()
dokta muuaji
Kumbeeeeeeeee ndo maana nlikuta cku moja chooni mtu kajaza sink la chooni kwa kinyesi nkaisi labda kulikua na harambeee ya kunde chooni !!! Sasa nmepata jibu


Acha utani!