Maafsa uajiri (hrs) ushauri wenu pls:

Maafsa uajiri (hrs) ushauri wenu pls:

kikoozi

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2015
Posts
2,142
Reaction score
3,189
Habarini za muda huu, poleni na miangaiko na ongereni kwa kuendelea na sherehe za sikukuu hii ya mapinduzi kwa bashasha za kutosha

Niende kwenye mada moja kwa moja, kwa kuanza na stori kwa ufupi

Nina Dada yangu ambaye ameajiajili hapa jijini dsm, alikutana na bwana mmoja uko kazini kwake akamueleza kuwa kuna ndugu yake ambaye anatafuta sehemu ya kujishkiza (ambae ni mimi).

Yule bwana akadai ilo halina shaka, ngoja aende mbeya kikazi kwanza uku akilifanyia mchakato ilo swala (maana alidai kuwa anafanya kazi nyanda za juu uko)

Alipatiwa mawasiliano yangu, na alinitafuta na kuniomba nimtumie Cv yangu kwenye email yake, nilifanya ivyo kwa uwaraka bila kusita, muda huo alishakuwa ameondoka dsm na yupo mbeya kikazi kama alivyodai

Baada ya takribani mwezi kupita aliwasiliana na Dada yangu kuwa anakuja dsm, kwaiyo aliomba waonane, Dada yangu akasema sawa ila akataka kujua kuwa zoezi langu limefikia wapi la kutafutiwa iyo kazi, yule bwana akasema kuwa mpango unaendelea vizuri.

Akadai kuwa ana Dada yake yupo iringa ni HR kwenye shirika flani ambalo sio la ki-serikali kwaiyo ndio amempa izo document azifanyie mchakato

Tarehe 5, mwezi huu alimtafuta Dada angu kwa njia ya simu na kumuomba aende akaonane nae hoteln na kudai kuwa mkataba wa kazi ameshatumiwa kwenye e-mail yake so aende ili akampatie, Dada yangu akamuambia kama kweli huo mkataba ametumiwa kwenye e-mail kwanini asinutumie tu nika-print nikajaza

Note: hapa ndipo dada angu aliisi jambo la tofauti (aliisi kuwa uyo mtu uenda ana lake jambo)

Baada ya dada angu kuwa mgumu kwenda kuonana nae uko hotelini alipodai

Tarehe 9, yule bwana akanitumia huo mkatata nikauona, akanipa maelekezo kuwa niujaze vizuri ila masharti ya kuurudisha ni lazima dada yangu haupeleke yeye hotelini alipofikia (maana anadai yupo Dar kwenye semina)

Kweli nili print na kuujaza vizuri kabisa, ila issue ikawa ni kuupeleka huo mkataba maana dada angu kwenda ni kitu ambacho hakiwezekani kabisa maana ameshamuona uyo mtu ana nia tofauti

Na uyo bwana hataki kabisa nimpelekee huo mkataba Mimi anataka dada yangu ndio apeleke, anadai asipopeleka basi anampigia simu dada yake ambae ni HR amuambie basi kuhusu iyo kazi

Maswali tunayojiuliza mpaka sasa ambapo naombeni msaada wa ushauri wenu:

1. Je kuna uwezekano wa huu mkataka kuwa forgery ili atimize matakwa yake?

2. Je kuna uwezekano wowote wa mimi kuupeleka huu mkataba, uko kwenye iyo shirika?

3. Je kama nikipeleka na mkataba ukawa ni feki, siwezi ingia kwenye matatizo?

4. Je kama ni kweli huo mkataba, je naweza kupeleka na jamaa akamuambia uyo Dada yake na nikakosa kazi?

Note: mimi binafsi nimembembeleza sana jamaa anisaidie ila wapi

Note: huo mkataba pia nimeujaza ila unanipa mashaka kwenye signature ya HR mwishoni, na address ya kampuni hawajaweka mkoa inapopatikana ilo shirika wala namba za simu za ilo shirika ila vitu vingine vyote vipo

Naombeni ushauri wa mawazo yenu mapendwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkamatisheni huyo jamaa kwa TAKUKURU.
Anataka papuchi tu huyo na uwezekano wa mkataba kuwa feki ni 100%.
Huu ndio ushauri sahihi kabisa, aende TAKUKURU awaelezee mkanda mzima na ushahidi wa email mlizotumiana, then wao wataweka mtego wao na watamdaka kama kuku huyo... Hamna ajira hapo Dada ako ataenda kuliwa mzigo na ajira hamna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ndio ushauri sahihi kabisa, aende TAKUKURU awaelezee mkanda mzima na ushahidi wa email mlizotumiana, then wao wataweka mtego wao na watamdaka kama kuku huyo... Hamna ajira hapo Dada ako ataenda kuliwa mzigo na ajira hamna

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa hapo alishakwepa majukumu, akishakula mzigo, atamsingizia HR ndo hajatoa ajira.
 
Kabisa uzungushaji utaanza mwisho simu hazipatikani na Dada tunda la Eden lishaliwa, uhasama utakuwepo na sista anaweza asimsaidie tena akifikiria alishaliwa tunda na bado dogo yupo mtaani atajutia na kunawa mikono... So bora amuokoe sista mapema asimtunuku mtu mzigo kizembe hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah njia nzur Sana ya kumkamata mpuuzi tena ipo waz nenda Takukuru kawaelezee watakusaidia halaf achana na hiyo kaz huo mkataba ni fek
Hawa mabazaz tuwakomeshe jaman Usiogope mkuu nenda atawekewa mtego

Na huyo dada anatakiwa ajiulize kawala wangapi kwa mtego huo! je yuko salama! na ni mtu anayefikia mahotelini kila mara.
 
Habarini za muda huu, poleni na miangaiko na ongereni kwa kuendelea na sherehe za sikukuu hii ya mapinduzi kwa bashasha za kutosha

Niende kwenye mada moja kwa moja, kwa kuanza na stori kwa ufupi

Nina Dada yangu ambaye ameajiajili hapa jijini dsm, alikutana na bwana mmoja uko kazini kwake akamueleza kuwa kuna ndugu yake ambaye anatafuta sehemu ya kujishkiza (ambae ni mimi).

Yule bwana akadai ilo halina shaka, ngoja aende mbeya kikazi kwanza uku akilifanyia mchakato ilo swala (maana alidai kuwa anafanya kazi nyanda za juu uko)

Alipatiwa mawasiliano yangu, na alinitafuta na kuniomba nimtumie Cv yangu kwenye email yake, nilifanya ivyo kwa uwaraka bila kusita, muda huo alishakuwa ameondoka dsm na yupo mbeya kikazi kama alivyodai

Baada ya takribani mwezi kupita aliwasiliana na Dada yangu kuwa anakuja dsm, kwaiyo aliomba waonane, Dada yangu akasema sawa ila akataka kujua kuwa zoezi langu limefikia wapi la kutafutiwa iyo kazi, yule bwana akasema kuwa mpango unaendelea vizuri.

Akadai kuwa ana Dada yake yupo iringa ni HR kwenye shirika flani ambalo sio la ki-serikali kwaiyo ndio amempa izo document azifanyie mchakato

Tarehe 5, mwezi huu alimtafuta Dada angu kwa njia ya simu na kumuomba aende akaonane nae hoteln na kudai kuwa mkataba wa kazi ameshatumiwa kwenye e-mail yake so aende ili akampatie, Dada yangu akamuambia kama kweli huo mkataba ametumiwa kwenye e-mail kwanini asinutumie tu nika-print nikajaza

Note: hapa ndipo dada angu aliisi jambo la tofauti (aliisi kuwa uyo mtu uenda ana lake jambo)

Baada ya dada angu kuwa mgumu kwenda kuonana nae uko hotelini alipodai

Tarehe 9, yule bwana akanitumia huo mkatata nikauona, akanipa maelekezo kuwa niujaze vizuri ila masharti ya kuurudisha ni lazima dada yangu haupeleke yeye hotelini alipofikia (maana anadai yupo Dar kwenye semina)

Kweli nili print na kuujaza vizuri kabisa, ila issue ikawa ni kuupeleka huo mkataba maana dada angu kwenda ni kitu ambacho hakiwezekani kabisa maana ameshamuona uyo mtu ana nia tofauti

Na uyo bwana hataki kabisa nimpelekee huo mkataba Mimi anataka dada yangu ndio apeleke, anadai asipopeleka basi anampigia simu dada yake ambae ni HR amuambie basi kuhusu iyo kazi

Maswali tunayojiuliza mpaka sasa ambapo naombeni msaada wa ushauri wenu:

1. Je kuna uwezekano wa huu mkataka kuwa forgery ili atimize matakwa yake?

2. Je kuna uwezekano wowote wa mimi kuupeleka huu mkataba, uko kwenye iyo shirika?

3. Je kama nikipeleka na mkataba ukawa ni feki, siwezi ingia kwenye matatizo?

4. Je kama ni kweli huo mkataba, je naweza kupeleka na jamaa akamuambia uyo Dada yake na nikakosa kazi?

Note: mimi binafsi nimembembeleza sana jamaa anisaidie ila wapi

Note: huo mkataba pia nimeujaza ila unanipa mashaka kwenye signature ya HR mwishoni, na address ya kampuni hawajaweka mkoa inapopatikana ilo shirika wala namba za simu za ilo shirika ila vitu vingine vyote vipo

Naombeni ushauri wa mawazo yenu mapendwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi mbona mambo ni rahisi sana? Dunia imekua ni kijiji.
Fanya hivi:
Huo mkataba si unaonyesha jina la kampuni?? That's all you need kwa dunia ya sasa hivi.
Ingia Google, type jina kamili la hiyo kampuni, then go to their website. Ukishafika kwenye website yao, ni lazima utakuta mawasiliano ya ofisi yao ya hapa bongo ( e mail address au simu ya mkononi/mezani). Ukishapata e mail unawasiliana nao, na una attach huo mkataba na kuuliza kama ni legitimate?
Kama utakuta namba za simu, unawapigia tuu na kuwaeleza kuhusu huo mkataba na kuomba e mail yao ili uwatumie wauone huo mkataba watakwambia kama ni famba au real.
Ila kwa jinsi ulivyoelezea, most likely huo mkataba utakua famba. Maana kwa NGOs, hata kama unaenda kwa kushikwa mkono, mara nyingi ni hadi uende at least kwenye interview ya kuzuga (au hata a skype/phone call interview). Its not very common hadi upewe mkataba ujaze, wakati watu hata hawajakuona.
Ila, fanya kama nilivyokuelekeza hapo juu, utajua mbivu na zilizooza.
Pole sana.
kikoozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi mbona mambo ni rahisi sana? Dunia imekua ni kijiji.
Fanya hivi:
Huo mkataba si unaonyesha jina la kampuni?? That's all you need kwa dunia ya sasa hivi.
Ingia Google, type jina kamili la hiyo kampuni, then go to their website. Ukishafika kwenye website yao, ni lazima utakuta mawasiliano ya ofisi yao ya hapa bongo ( e mail address au simu ya mkononi/mezani). Ukishapata e mail unawasiliana nao, na una attach huo mkataba na kuuliza kama ni legitimate?
Kama utakuta namba za simu, unawapigia tuu na kuwaeleza kuhusu huo mkataba na kuomba e mail yao ili uwatumie wauone huo mkataba watakwambia kama ni famba au real.
Ila kwa jinsi ulivyoelezea, most likely huo mkataba utakua famba. Maana kwa NGOs, hata kama unaenda kwa kushikwa mkono, mara nyingi ni hadi uende at least kwenye interview ya kuzuga. Its not very common hadi upewe mkataba ujaze, wakati watu hata hawajakuona.
Ila, fanya kama nilivyokuelekeza hapo juu, utajua mbivu na zilizooza.
Pole sana.
kikoozi

Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkataba lazima uwe wazi yaani utaje jina LA kampuni,anuani(physical and postal adress) na namba za simu.pia na wewe mwajiriwa mtarajiwa vitu nilivyovitaja hapo juu viwekwe kwenye mkataba vitu vingine ni.place of work,job description( majukumu yako ya kazi), hours of work,duration of contract,remuneration (malipo),).HIVYO kama havipo mkataba ni mmmmmh.pia jina LA hr lionekane wazi.kila page ya mkataba saini zote mwajiri na mwajiriwa viwepo.muhuri wa kampuni uwepo na saini mnasaini hapo hapo.

Mkuu nimekuelewa

Nime ku pm mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thanks sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya hivyo kisha utuletee mrejesho.
By the way, kama NGO yenyewe ni One Acre Fund, huo mkataba utakua ni wa uongo, recruitment zao wale ziko very straight forward. (Nimesema hivyo kwa sababu tu umesema kuwa hiyo NGO iko Iringa, na one acre fund makao makuu yao ni huko Iringa). Sorry kama nitakua nimekukwaza.
Pole sana mkuu.
kikoozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom