Maafsa uajiri (hrs) ushauri wenu pls:

Maafsa uajiri (hrs) ushauri wenu pls:

Hii issue naona haijakaa vizuri. Kama dada yako ameona Jamaa ana nia tofauti, nadhani wewe na Dada yako muachane na huyo Jamaa pamoja na kazi yake.

Issue ya kusema mwende Takukuru, au mfatilie hiyo kazi bila huyo mhusika, sidhani kama mtafanikiwa. Kuna binadamu na wanyama, hatujui kwenye moyo wake yeye ni nani Kati ya hao wawili.

Sijui wewe na dada yako huwa mnaongea vitu gani, ila issue kama hii lazima dada yako aliover see mapema.

Kumbuka kazi anatoa Mungu na anakupa sehemu sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu dada yangu alinieleza kuwa uyo jamaa anaonekana hana nia nzuri kwake ya kunisaidia mimi, kwaiyo niachane nae kabisa

Jamaa akanipigia simu asubuhi ya leo akasema kuwa kuhusu mimi kupata kazi ameshaghairi na ameshampigia HR simu ambae ni dada yake ameshamwambia basi

Kwaiyo dada yangu ndio anafanya mimi nisipate kazi (jamaa anavyodai)

Baada ya maelezo ya dada yangu, ndio akili ikaaza kunituma kuangalia kama mkataba ni original maana kwa harakaharaka ukisoma kuanzia juu mpaka chini mkataba unaonekana ni original and no doubt

Kuwa baadhi ya waliotoa comments hapa nimewatumia (pm) wanaweza kuwa washuhuda kwenye huo mkataba hapa kwenye comments

Binafsi nimeuona huo mkataba... Aisee ukiingia kichwa kichwa na kama huna experience na hizi ishu za mikataba ya ajira lazima uingie kingi!!
Kwa haraka haraka looks real; Ila ukiingia kwenye details na ukiwa mzoefu ndo unagundua kuwa huo mkataba ni wa uongo, ni bonge la famba!!
Jamaa lazima atakua ameshawala wadada wengi kwa hiyo trick, na nahisi atakua ni mtu ambae ana nafasi kubwa na/au exposure ya kutosha... Maana kufoji kitu cha aina ile sio kitu kidogo aisee...
Watu wa aina yake hawafai kabisa kwenye jamii kwa kweli!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri wangu, pambana kutafuta kazi bila kumtumia Dada, chuo usome we we kazi atafute Dada?, 99% maafisa ajira (Hrs), wa kiume hutoa ajira baada ya mzigo. Ama pesa au papuchi. HR wengi wa kike ndio huzingatia maadili ya kazi. Upangaji wa vituo vya kazi kwa manesi na walimi ktk awamu ya NNE wadada waliliwa sana. Tumia www.ajira.go.tz kutafuta ajira halali serikali ni, huko ni ujuzi wako tu hakuna papuchi. Tumia zoom Tanzania kwa sekta binafsi. Pole sana kwa mkasa huo ila achana na huo mkataba, achana na Takukuru, tafuta kaz maana mtego wa takukuru unawezamponza Dada, akatoa mzigo na HR asikamatwe.
Habarini za muda huu, poleni na miangaiko na ongereni kwa kuendelea na sherehe za sikukuu hii ya mapinduzi kwa bashasha za kutosha

Niende kwenye mada moja kwa moja, kwa kuanza na stori kwa ufupi

Nina Dada yangu ambaye ameajiajili hapa jijini dsm, alikutana na bwana mmoja uko kazini kwake akamueleza kuwa kuna ndugu yake ambaye anatafuta sehemu ya kujishkiza (ambae ni mimi).

Yule bwana akadai ilo halina shaka, ngoja aende mbeya kikazi kwanza uku akilifanyia mchakato ilo swala (maana alidai kuwa anafanya kazi nyanda za juu uko)

Alipatiwa mawasiliano yangu, na alinitafuta na kuniomba nimtumie Cv yangu kwenye email yake, nilifanya ivyo kwa uwaraka bila kusita, muda huo alishakuwa ameondoka dsm na yupo mbeya kikazi kama alivyodai

Baada ya takribani mwezi kupita aliwasiliana na Dada yangu kuwa anakuja dsm, kwaiyo aliomba waonane, Dada yangu akasema sawa ila akataka kujua kuwa zoezi langu limefikia wapi la kutafutiwa iyo kazi, yule bwana akasema kuwa mpango unaendelea vizuri.

Akadai kuwa ana Dada yake yupo iringa ni HR kwenye shirika flani ambalo sio la ki-serikali kwaiyo ndio amempa izo document azifanyie mchakato

Tarehe 5, mwezi huu alimtafuta Dada angu kwa njia ya simu na kumuomba aende akaonane nae hoteln na kudai kuwa mkataba wa kazi ameshatumiwa kwenye e-mail yake so aende ili akampatie, Dada yangu akamuambia kama kweli huo mkataba ametumiwa kwenye e-mail kwanini asinutumie tu nika-print nikajaza

Note: hapa ndipo dada angu aliisi jambo la tofauti (aliisi kuwa uyo mtu uenda ana lake jambo)

Baada ya dada angu kuwa mgumu kwenda kuonana nae uko hotelini alipodai

Tarehe 9, yule bwana akanitumia huo mkatata nikauona, akanipa maelekezo kuwa niujaze vizuri ila masharti ya kuurudisha ni lazima dada yangu haupeleke yeye hotelini alipofikia (maana anadai yupo Dar kwenye semina)

Kweli nili print na kuujaza vizuri kabisa, ila issue ikawa ni kuupeleka huo mkataba maana dada angu kwenda ni kitu ambacho hakiwezekani kabisa maana ameshamuona uyo mtu ana nia tofauti

Na uyo bwana hataki kabisa nimpelekee huo mkataba Mimi anataka dada yangu ndio apeleke, anadai asipopeleka basi anampigia simu dada yake ambae ni HR amuambie basi kuhusu iyo kazi

Maswali tunayojiuliza mpaka sasa ambapo naombeni msaada wa ushauri wenu:

1. Je kuna uwezekano wa huu mkataka kuwa forgery ili atimize matakwa yake?

2. Je kuna uwezekano wowote wa mimi kuupeleka huu mkataba, uko kwenye iyo shirika?

3. Je kama nikipeleka na mkataba ukawa ni feki, siwezi ingia kwenye matatizo?

4. Je kama ni kweli huo mkataba, je naweza kupeleka na jamaa akamuambia uyo Dada yake na nikakosa kazi?

Note: mimi binafsi nimembembeleza sana jamaa anisaidie ila wapi

Note: huo mkataba pia nimeujaza ila unanipa mashaka kwenye signature ya HR mwishoni, na address ya kampuni hawajaweka mkoa inapopatikana ilo shirika wala namba za simu za ilo shirika ila vitu vingine vyote vipo

Naombeni ushauri wa mawazo yenu mapendwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom