figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,487
Maafisa wa Jeshi la Polisi huko Zanzibar wakiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF kipenzi cha Wazanzibari Maalim Seif Shariff Hamad, mara baada ya kukamilisha mahojiano nae.
Wito wangu kwa Jeshi la Polisi huu uwe ni mwanzo mzuri wa maelewano na muache kuwapiga mabomu wananchi wanapojitokeza kumlaki ama kumsikiliza Maalim Seif anapofanya ziara za kuimarisha chama chake huko visiwani Zanzibar.