Maafisa utumishi naomba msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maafisa utumishi naomba msaada

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by koplo, Oct 6, 2012.

 1. koplo

  koplo JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 596
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Habari za leo wana JF,Naulìza kama muajiriwa wa halmashauri amejiendeleza katika fani ambayo ni tofauti na aliyo ajiriwa nayo. lakini hiyo fani mpya haina idara katika halmashauri husika.je kunauwezekano wa kuamia WIZARANI TAMISEMI
  kama ndio naomba utaratibu
  thanx
   
Loading...