Tutu kalundji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 532
- 1,287
Kwetu tunawaita maafisa usafirishaji ila nasikia kwenu mnawaita bodaboda.Sema jamaa huwa hawashindwi Gen Z wakasome😃
Abilia❌Duuh! Huyo abilia atafika kachoka sana
Mambo ni mengi mkuu😁Abilia❌
Abiria✅
Mwenyewe katingwa Hana mudaaaa 😊