Ni hivi, Tanzania kuna janga la kimyakimya ambalo tumeamua kufanya ni jambo la kawaida sana. Umalaya. Wanawake wengi walioolewa na wasioolewa wanafanya umalaya pengine wao wanaona ni jambo la kawaida sana.
Wazazi hasa kina mama wamechangia kwa kiasi kikubwa sana kwenye hilo janga. Unakuta mama anamuuliza mwanae wa kike, hivi ina maana huyo mwanaume wako hakupi ata pesa ? We unaona hali ya nyumbani hapa. Unadhani kinachofuata nini? Mwanaume anakuwa ATM.
Pili, wanaume ambao ni wajinga wanaohonga wanawake bila kutumia akili hawajui pale ni biashara mmefanya, sababu kitu pekee anakupa ni uchi tu. Hakuna lingine la maana. Na watoto wa kike wamezoea kupewa as if ni lazima. Hili wanaume tujilaumu. Mwanamke ambae unapaswa kumhudumia ni mke, mtoto wako na mama. Fullstop. Hao wengine ni unanunua chululu tu.
Sasa balaa linakuja umeoa huyo mfanyabiashara wako uliempata kwa kuspend pesa. Fulia au atokee mwamba mwenye mzigo kukuzidi. Utajua hujui. Alafu mnashangaa kwa nini rate ya talaka ni kubwa sana na mnakufa mnawaacha wanawake.