Mkuu Vmark, nimekwazika kwa namna ulivyoamua kubandika bila kufuata kanuni za uandishi hasa kwenye punctuation.
Naomba ufafanuzi wa "nidhamu ya woga" , hili neno nalisikia sana na sipati maelezo ya kutosha. Je, kutii maagizo ya superior wako ni "woga", "nidhamu" au "nidhamu ya woga"?
Kama alivyoandika Nyakageni pale juu, nidhamu ni dhana pana sana. Inahitaji udadavuzi wa ni katika maeneo gani tunatakiwa kujadili.