π€£π€£ Nimekoma sasaWatu hapa wanajua ww ni mzee kakupigwa na vitu vizitoπππππ
Hata wazee huelimishwa na Watoto.,Maadili ya mwanamme halafu yameandikwa na mvulana, eti broh broh! Shenzi. Youβre just another boy tryna lecture them men.
π π π π imekukosha au unakazia
Na wenyewe kama sio sisi husema , wataacha utoto wakizeeka.Utoto raha sana
Nakazia tuπ π π π imekukosha au unakazia
πππMwanamke wa fasihi simulizi mali ya umma temana nayeye. Umeandika saana mwamba kiume zaidi. ππ»ππ»ππ»ππ»ππ» hizi codes nimezielewa mno na baadhi nazitumia katika kutafuta mkike
π π π πNakazia tu
ππFacts
Hivi kenzy kakukosea nini lakini??ππ
Naendelea kuchukua notes
ππ Mtu mstaarabu ndo niwekwe kwenye mifano ya kuacha na kuachwa..π€£KENZY ni ndugu yangu...sana huyu hajanikosea bwanaπ π π π
Ni mtu mstaarabu sanaπ π π π π π π π π π