BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,442
- 23,889
ππππIla wewe jamaa unanichekeshaga sanaπ€£π€£π€£π€£π... ngoja waje
Yametapakaa wapi?Afrika tuna maadili yetu ki ujumla ambayo yapo wazi na yametapakaa
Upana wa suruali unatakiwa uwe mita ngapi kwa mujibu wa maadili ya kitanganyika?Vaa suruali pana kama mfuko wa mashine utakua umeyapatia maadili ya kitanzania mkuu.
18 mpka 20 mkuuUpana wa suruali unatakiwa uwe mita ngapi kwa mujibu wa maadili ya kitanganyika?
Unawazungumziaje wakongo mani kwenye hili?Afrika tuna maadili yetu ki ujumla ambayo yapo wazi na yametapakaa katika mataifa yote afrika.
Leo hii njo Tanzania, nenda Senegal, Bukinafaso, Zambia, Morocco, Egypt, Kenya Nk. Kote huko Mwanaume kukata viuno sio jambo jema na lipo kinyume na maadili.
Ikivuka hapo inakuje?18 mpka 20 mkuu
Vipi maadili ya watoto chuchu saa sita kutembea wazi bila blazia imekaaje mana Afrika ipo hii??.Afrika tuna maadili yetu ki ujumla ambayo yapo wazi na yametapakaa katika mataifa yote afrika.
Leo hii njo Tanzania, nenda Senegal, Bukinafaso, Zambia, Morocco, Egypt, Kenya Nk. Kote huko Mwanaume kukata viuno sio jambo jema na lipo kinyume na maadili.
Ana sonona ya IMANI&DINI sio bure.Yametapakaa wapi?
Labda yametapakaa kichwani kwako tu, maana wengine hatujawahi kuyaona.
Afrika tuna maadili yetu ki ujumla ambayo yapo wazi na yametapakaa katika mataifa yote afrika.
Leo hii njo Tanzania, nenda Senegal, Bukinafaso, Zambia, Morocco, Egypt, Kenya Nk. Kote huko Mwanaume kukata viuno sio jambo jema na lipo kinyume na maadili.
ππππNi maadili ya mtu mweupe na muarabuπ sijui kuchana nywele, kusalimia shkamoo, dini yenyewe....
waarabu na wazungu ndo walitupa hayo maadili kwa kisingizio kwamba wanatu 'civilize' (kututoa ushamba).... maadili yetu yalikua kuvaa nusu uchi, kuoa wake wengi, ulevi nk....
mimi hua sichani nywele, maadili ya nyoko
Hilo sasa gauni utaitwa jina jingneIkivuka hapo inakuje?
Ndo nashangaa ππππππKila kabila Lina Mila na miiko yake tupo kabila 120 sasa lini tulikubaliana kuwa haya ni maadili yetu wote watanzania Nani alikuwa mwenyekiti wa hicho kikao