What an answer! Bravo.Wewe sio mwanaccm hayakuhusu. Wenyewe wanayajua.
Anayoyasimamia Samia; au hujui anayoyasimamia Samia Suluhu Hassan?Maadili ya CCM ni yapi ?
Umejuaje kuwa sio mwanaCCM ? Unamfahamu ?Wewe sio mwanaccm hayakuhusu. Wenyewe wanayajua.
Nenda tawi la chama lililo karibu. Utapatiwa katiba, miongozo na taratibu. Utatakiwa pia ku-recite AHADI ZA MWANACHAMA na kuziishi. Uanachama unapatikana matawini sio hapa.Nataka kujiunga na CCM
Kuwa muongo.Maadili ya CCM ni yapi ?
Umejuaje kuwa sio mwanaCCM ? Unamfahamu ?
Kwa nini asingeuliza ?Angekuwa mwanaccm asingeuliza swali la namna hiyo
Kwani wana CCM wote wanayafahamu maadili ya chama chao??
Kwa nini asingeuliza ?
Maadili ya CCM ni yapi ?
Soma katiba na kanuni zaoMaadili ya CCM ni yapi ?