Wewe jamaa mbona mjinga Sana ,kama unataka hizo kazi nenda huko marekani hakuna ambaye kakukataza ....[emoji848][emoji848]Kwa nchi zilizoendelea, Porn iliruhusiwa na makahaba wapewa leseni
-ziliibuka kampun za kushoot porn
-ziliibuka vipaj vya kucheza porn
-ziliibuka vyuo vya porn
-ziliibuka porn festivals
-ziliibuka biashara za sextoy
-watalii wa ngono walikua wengi
NB: watalii wa ngono Ni wengi kuliko watalii wa wanyama
Mfano mzur
Ni Maldives na malbera Ni visiwa vidogo TU visivyo na vivutio vya maana zaid ya beach na michanga ila wanatuzidi idadi ya watalii sisi wenye mapori na wanyama.
Watalii maelfu wanaminika kule kula starehe za pombe na ngono.
Kwasasa,
Kujitenga na pombe na ngono ukitegemea kukuza uchumi Ni kujilisha upepo.
katika marais.. kwa maono yangu Nyerere alikua na maadili, Magu alikua na maadili.. jazia na wengineNI IPI FAIDA YA MAADILI KATIKA KUTOKOMEZA UMASKINI KWENYE NCHI ZENYE UCHUMI WA CHINI??
Nimekusoma mkuuuMimi navojua huwezi kuwa na maadali hapo hapo ukatokomeza umasikin .....
Kuwa na maadili maana yake ....
-Hutapokea rushwa wala kutoa rushwa
-Kufuata sheria na taratibu za serikali
-kutokukwepa kulipa Kodi
- kuacha wizi ,ujambazi na unyanganyi wa mali za watu
- kuacha wizi wa mali za umma
- kuwa mkweli na mwadilifu kwenye kila nyanja za kijamii
- kuhimizia haki sawa na kuilinda demokrasia
- kutenda haki sawa Kwa kila mtu ...
Kiufupi kuwa mwadilifu ni kujitafutia umasikin hasa ,,..... hakuna tajiri anayefuata hayo niliyoandika hapo juu ,wengi matajiri walioukimbia umasikin na kuwa tajiri wapo against hizo hoja hapo juu .....
Mkùu watt watasoma kwelKwa nchi zilizoendelea, Porn iliruhusiwa na makahaba wapewa leseni