Maadhimisho ya siku ya mazingira- Tumbi, Tabora.

Makene

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,475
282
Kwenye taarifa ya habari ya saa 2 usiku TBC, mkuu wa wilaya amelazimika kuahirisha maadhimisho hadi tarehe 14 baada ya wananchi kutokuhudhuria.<br />
Je hii inaweza kuwa ni ishara ya wananchi kuchoshwa, au kutoona faida ya kushiriki mihadhara ya kiserikari kwa kuona haina tija kwao.<br />
Hebu tuchange mawazo.
 
Waliwahamasisha ipasavyo au walitarajia kwamba wangehudhuria tu?

Wangewapa fulana, kofia au upande wa kanga ungeona wangehudhuria kwa wingi.
 
Kwani ccm hawakugawa khanga, kofia na buku 2? wamewazowesha wenyewe kweye shughuli za Magamba watu wanajua wanapatia kifuta jasho cha kodi zao kwa kupewa buku 2
 
Tumbi ni nje ya mji wa Tabora,hivyo kama hautawapatia usafiri,posho,fulana,kofia nk hauwezi kupata wananchi,labda wangemfanya Dk Slaa awe mgeni rasmi.
 
Back
Top Bottom