Maadhimisho ya kifo cha Hayati Mkapa itakua siku ya mapumziko?

PeterLugomo

Member
Aug 27, 2015
19
17
Wakuu naomba kujua kama mamlaka husika zimetangaza kuwa siku aliyofariki mpendwa wetu Raisi wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa kama ni siku ya mapumziko tukiadhimisha kifo chake na kukumbuka mchango wake uliotukuka katika taifa hili.
 
Maadhimisho kawaida ni siku ya kuzaliwa, si ya kufa. Siku ya kufa inakumbukwa, haiadhimishwi. Ukisema unaiadhimisha ni kama unafurahia kifo chake marehemu.

Na hakuna mapumziko.
 
Ni siku ya kumbukizi ya maisha ya Hayati BWM na sio siku ya mapumziko. Kazi iendelee
 
Wepesi sana wa kusahau,je President Mkapa alikua mwana demokrasia? Je aliamini alishinda uchaguzi wake wa kwanza kihalali?nini legancy yake alituachia kama nchi?

Na nini hasa kilipekekea mauaji ya pale Msikiti wa Mwembechai, na ya kule Pemba? Tuelewe hawa ni Watanzania wenzetu waliopoteza uhai wao kule. Binafsi President Mkapa was a strong stateman sio ICON.
 
1626326043469.png
 
Siku ni moja tu ya "Nyerere Day" hao wengine wakifariki watakumbuka ila hakutakuwa na mapumziko.
 
Back
Top Bottom