Maadamano yakiwa yanaendelea mwingine apigwa na askari

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
18,905
Reaction score
14,670
Maandamano yakiwa yanaendelea huko Kenya ya wanachi wakidai kupatikana haki ya Albert Ojwang ambaye alifariki akiwa gerezani baada ya kupigwa na moja ya askari, katika hali hiyo video hii inamuonyesha moja ya mtu ambaye alikuwa katika maandamano akiwa amepigwa na bunduki na askari waliokuwa wanatawanyisha maandamano hayo.

View attachment 3373313
Waandamanaji wa Kenya wajinga sana, wao kila kitu kufanya fujo na wala haijabadili chochote katika maisha yao wengi bado ni maskini wa kutupwa.
 
Watanzania wakatoe MISAADA WA kudai HAKI ya kuishi....

Waliokua wanapiga kelele na kuwaona wakenya mashujaa hutowaona hapa.... Na hutoona dada yao anashinikiza MAANDAMANO Kenya ..

Wajinga ndo waliwao.... Nao pia walifanya mabadiliko ya katiba.... Na wana demokrasia kutuzidi
 
Mbona ndio roll model wa Chadema?Na hawa wavimba macho wanawaamini.
 
Watanzania wakatoe MISAADA WA kudai HAKI ya kuishi....

Waliokua wanapiga kelele na kuwaona wakenya mashujaa hutowaona hapa.... Na hutoona dada yao anashinikiza MAANDAMANO Kenya ..

Wajinga ndo waliwao.... Nao pia walifanya mabadiliko ya katiba.... Na wana demokrasia kutuzidi
You are very foolish. Do you think these people are like us, where people are taken one by one while the rest of you cower like wildebeest?
 
Waandamanaji wa Kenya wajinga sana, wao kila kitu kufanya fujo na wala haijabadili chochote katika maisha yao wengi bado ni maskini wa kutupwa.
Mpumbavu kama wewe huwezi kujua matokeo ya kupigania haki. Sikulaumu sana kwa sababu elimu yetu na utamaduni wa uvivu imefanya watu wadhani kuleta mabadiliko ni kubonyeza kitufe. Mtu kama wewe si ajabu hutaishi zaidi ya miaka 40 lakini huoni kama incompentence ya watawala wako inakwenda mbali kiliko just ku-survive siku mbili tatu. Halafu mabaya zaidi wewe utakuta ni mtu fukara na familia yako iko taabani ukitegemea kuhemea kama kuku wa kienyeji. Afrika iko hapa ilipo kwa sababu ya midset finyu kama yako
 
You are very foolish. Do you think these people are like us, where people are taken one by one while the rest of you cower like wildebeest?
Hiding behind JAMII forums under fake id.... Thinking you'r a 🦁

Nawe ni walewale mkuu "nyumbu,"
 
Back
Top Bottom