Maabara ni science?????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maabara ni science??????

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MSANGU, May 1, 2012.

 1. M

  MSANGU New Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baada ya serikali kushindwa kutekeleza wajibu wake kwa wananchi kumetolewa tamko ya kwamba shahada ya Maabara haipo tena kwenye zile kozi zitakazo pewa kipaumbele kwa wanafunzi hao katika suala zima la mikopo!!!!! wadau tutafika?????????????????
   
 2. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  shahada za maabara zinatolewa na chuo gani?
   
Loading...