the guy here i am
Member
- Nov 11, 2018
- 81
- 32
Nimeona I kitu kwenye kazi za tanapa kuhusu uo mshahala wa tan 01 ni kiasi gani cha pesa iko
Mkuu we umewealza ku applyNimeona I kitu kwenye kazi za tanapa kuhusu uo mshahala wa tan 01 ni kiasi gani cha pesa iko
Utasikia niliona salary ndgo ndo maana nimeacha kumbe process zimemtoa nje ya reliMkuu we umewealza ku apply
?
Utasikia niliona salary ndgo ndo maana nimeacha kumbe process zimemtoa nje ya reli
Wakikujibu nitagNimeona I kitu kwenye kazi za tanapa kuhusu uo mshahala wa tan 01 ni kiasi gani cha pesa iko
Hata shortlist ya majina ya usaili bado haijatoka punguza kasi basi.Naomba anaefaham maswala ya interview kuhusu hiyo wildlife management and law enforcement wanapenda kuuliza maswali gani naomben msaada?