Ma-x wote wananiblock. Baada ya kuwa na mwanamke kutoka ughaibuni

ndonger

JF-Expert Member
Jan 21, 2018
875
1,541
Aisee..baada ya kuchukua mtoto mkali wa race nyingine kabisa na kumpost tukila maraha kona zote kuanzia instagram, facebook na whatsapp.

Naona taratiibu ma x wakiniblock

Hahaha aisee...raha iliyoje..
Sasa ma x wengne mmeolewa wivu wa nini na tumeachana mda kinoma.

Aisee... na nilikua sifuti namba za ma x kwa sabab hii.
 
Mbona kama na wewe umeumia walivyokulima block? Unawafuatilia sana ndio maana umegundua wamekublock
Sjaumia..niumie wanawake zaid ya 6 ambao nishaishi nao pika pakua...sema sijapenda tu..nilitaka waone jinsi gan mwanaume hana hasara na jinsi nilivyo upgrade..

Yaan imewachoma had wameniblock.hahahahahahahhahahahahahahahaha..maisha haya
 
Aisee..baada ya kuchkua mtoto mkal wa race nyingne kabisa na kumpost tukila maraha kona zote kuanzia instagrm,facebook na whatsapp.

Naona taratiibu ma x wakiniblock

Hahaha aisee...raha iliyoje..
Sasa ma x wengne mmeolewa wivu wa nin na tumeachana mda kinoma.

Aisee..na nilikua sifut namba za ma x kwa sabab hii...ma.mae zao
Na yeye atakublock siku mojaa
 
Back
Top Bottom