Mungu Mweusi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 1,474
- 1,088
Specialization ipi hapa inaweza kuwa na tija nzuri huko mbele kwa kuangalia mabadiliko katika jamii.
1.Medical sociology
2.Rural sociology
3.Environmental sociology
4.Industrial sociology
Kama hujui lolote kwenye hii tasnia pita bila kukoment;[emoji15]
Don't BotherSasa wewe mweh !!
What exactly are you asking, and who is your target audience ?
Mnaongelea degree au ... maana sio lazima upate kazi ya saikologisti lkn elimu hiyo na electives nyingine plus za kuzaliwa unaweza kupata kazi sehemu mbalimbali. Ni field nzuri ambayo una- cut across many fields, iwe mashuleni, hospitalini, mashirika na taasisi za kitaifa na kimataifa, hasa ktk community development, outreach, aka extension workers nkSociology nimeichukia jamani imenifanya sijapata kazi mpaka sasa najuuta kwanini sikusoma ualimu...mpeni ushauri mnaojua
Marafiki zangu wa sociology 89% ninaowajua wana kazi nzuri sana tena sanaSociology nimeichukia jamani imenifanya sijapata kazi mpaka sasa najuuta kwanini sikusoma ualimu...mpeni ushauri mnaojua
Kila kimoja kina tija kwa nafasi yake soma vyote ikiwezekana tafuta GPA kali itakua tija bora kwa wanao baadayeSpecialization ipi hapa inaweza kuwa na tija nzuri huko mbele kwa kuangalia mabadiliko katika jamii.
1.Medical sociology
2.Rural sociology
3.Environmental sociology
4.Industrial sociology
Kama hujui lolote kwenye hii tasnia pita bila kukoment;[emoji15]
Umempa ushauri wa maana sana, tafuta kazi ya kujitolea kwenye NGOs tena bila malipo. Ukiwa hapo utapata channel tu. Kuna field work nyingi tu. Maisha ni kupambana. Siyo kukaa na kujuta!Mnaongelea degree au ... maana sio lazima upate kazi ya saikologisti lkn elimu hiyo na electives nyingine plus za kuzaliwa unaweza kupata kazi sehemu mbalimbali. Ni field nzuri ambayo una- cut across many fields, iwe mashuleni, hospitalini, mashirika na taasisi za kitaifa na kimataifa, hasa ktk community development, outreach, aka extension workers nk
I hope kazi hamtafuti jf tuu..
Strategy ni ku apply kila sehemu mbalimbali na kwa kubadili badili CV yako kutegemeana na masomo na field ulizofanya. Ukishaitwa tu ktk interview hapo ndo unawashushia nondos..
Gea nzuri ambayo kwingine duniani inasaidia ni kwenda na kuomba kujitolea hata kama ni few hrs per week, huo mtego utakuta wenyewe wanaona aibu then wanakupa kazi..
Hata kama ni ktk shule za chekechea...!!
Unasema ualimu ??? Upo nchi gani wewe husikii wanavyolia...??
Usikate tamaa ndugu yangu, mimi nimesoma Sociology Ud lakini sasa ni Adviser wa International organization moja hiviSociology nimeichukia jamani imenifanya sijapata kazi mpaka sasa najuuta kwanini sikusoma ualimu...mpeni ushauri mnaojua
Muambie huyo ni kozi nzuri sana na unapata kazi nzuri tu, awe mvumilivu tu kwani ajira ni ngumu kwa ujumlaMarafiki zangu wa sociology 89% ninaowajua wana kazi nzuri sana tena sana
Kweli mkuu it takes time tuuMuambie huyo ni kazi nzuri sana na unapata kazi nzuri tu, awe mvumilivu tu kwani ajira ni ngumu kwa ujumla