Ma rais wa staafu wasiendelee na siasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ma rais wa staafu wasiendelee na siasa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mc Kihiga, Mar 18, 2011.

 1. Mc Kihiga

  Mc Kihiga Member

  #1
  Mar 18, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ni Mgeni kabisa ktk uwanjaa huu wa {JF} nashukuru sana kwa uwepo wa safu hii.

  Ndugu zangu mimi nimefikiri sana kuhusu hawa Ma-Rais wastaafu ktk Bara letu {Africa} especially TZ kwa fikra zangu binafsi ningependa sana baada ya kutawala kwa awamu yake basi na kustaafu basi asiwe tena Mwanasiasa astaafu pia siasa kabisa kwa nini;

  i} Kulinda heshima yake baada ya kutumikia Wanachi wake.

  ii}Wananchi aliokuwa akiwatumikia si wa chama kimoja na bali ni Raia wote ndiyo maana akaitwa Rais wa Tanzania.

  iii}Atakuwa ni Mzee wa Taifa hivyo itamuwezesha kutatua matatizo ya ndani ya Nchi bila kushakiwa huku akisikilizwa na jamii yote nk.
   
Loading...