Jonathan Manase
Member
- Jan 19, 2013
- 35
- 11
MAPASTOR watatu walikutana wakaelezana shida zao ili waombeane
PASTOR wa kwanza: mimi tatizo langukila nikitoka kwenye ibada lazma niibe sadaka za waumini naomba niombeeni niache.
PASTOR wa pili: mm tatizi langu napenda sana wanawake kila mtu napenda nilale nae nimeshalala na wanakwaya wote niombeeni niache.
PASTOR wa tatu: akaanza kulia wenzake wakamuuliza we vp mbona unalia yeye akawaambia mm tatizo ni umbea yani mliyoyasema hapa yote lazima nikasimulie niombeeni jamani!!!!!!!