Ma mc; ndoa ngapi mlizosherehekesha bado hai??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
Pengine tuanze kuchagua mc kwa kuangalia na uzoefu na uzoefu sio idadi bali
mpaka sasa ndoa ngapi alizoshehekesha bado hai..nimekuja kuona kuna umuhimu mkubwa
unajua kuna w atu wanatembea na maspirit ya kuachana sasa wewe mc ametengena na mkewe
ama wakeze na wewe anasherehesha sherehe yako unatarajia uapako gani jamani

jana nilikuwa kwenye sendoff moja sinza ..kumbe mtoto wa kike anaeagwa mc alisherehesha sherehe ya kaka wa mumewe mtarajiwa so alipomwona akasema eeeh jamani huyu mzee nilisherehesha aarusi ya mwanawe tena 2005 akamuuliza bado ipo akamwambia ishasahaulika mwanangu wala usinikumbushe live bila chenga unawezaona nahiyo inaelekea wapi

mbarikiwe mc wote wenye ndoa zao
 
Back
Top Bottom